Kishore Kumar Hits

Alarm of God Ministry - Mungu Ni Yule Yule lyrics

Artist: Alarm of God Ministry

album: Turakomeye


Mungu ni yule yule jana hata leo
Milele habadiliki, yeye ni yule yule
Mungu ni yulele jana hata leo (oh oh)
Milele habadadiliki yeye (ye ye ye) ni yule yule
Mungu ni yule yule jana hata leo
Milele habadiliki, yeye ni yuleyule
Mungu Mungu Mungu ni yule yule jana hata leo
Milele habadadiliki yeye ni yule yule, wowowo, wowowo
Mungu ni yule yule jana hata leo (jana hata leo)
(Milele) Milele habadiliki, yeye ni yuleyule (yeye ni yule)
(Mungu, Mungu eh) Mungu ni yule yule (jana hata leo) jana hata leo
(Milele milele) Milele habadadiliki Mungu wetu ni yule) yeye ni yule yule
Amini neno lake alilosema nawe
Hata akawiye ni kweli atatimiza
Ijapo sisi twabadilika
Yeye ni yule yule jana hata leo
Mungu wetu ni yule yule
Amini neno lake alilosema nawe
Hata akawiye ni kweli atatimiza
Ijapo sisi twabadilika
Yeye ni yule yule jana hata leo
Mungu wetu ni yule yule
Mungu ni yule yule (Mungu ni yule yule) jana hata leo (jana hata leo)
Milele habadiliki, yeye ni yuleyule oh-oh oh-oh
Oh-oh oh-oh (oh-oh oh-oh)
Oh-oh oh-oh (oh-oh oh-oh)
Oh-oh oh-oh (oh-oh oh-oh)
Oh-oh oh-oh (oh-oh oh-oh)
Oh-oh oh-oh (oh-oh oh-oh)
Oh-oh oh-oh (oh-oh oh-oh)
Oh-oh oh-oh (oh-oh oh-oh)
Oh-oh oh-oh (oh-oh oh-oh)
Mungu ni yule yule
Mungu ni yule yule
Oooh ni yule
Mungu ni yule yule Mungu ni yule yule) jana hata leo (jana hata leo)
Milele habadiliki (Haleluya), yeye ni yuleyule
Mungu ni yule yule Mungu ni yule yule) jana hata leo (jana hata leo)
Milele habadadiliki (Haleluya), yeye ni yule yuleee

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists