Kishore Kumar Hits

Pst. Emmanuel Ushindi - Ni Kweli lyrics

Artist: Pst. Emmanuel Ushindi

album: Kamundala


Baraka za mungu ni mimba
Tena harufu ya ajabu
Ata ukatae kuona motto
Harufu ita kutafuta
Mpaka ikupe raboth
Jilili lili jilili lili
Jilili lili jilili lili
Jilili lili jilili lili
Pastor marisila
Nguvu zetu ni katika maombi
Papa Toputopu
Chakupewa ulipewa na mkwe
Angesema unyanganywe
Asili yake ni kigeu geu
Mwanadamu ni mwanadamu tu
Asili yake ni kigeugeu

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists