Sisi wanamsingi wa imani tumekusanyika Kama kikundi, nia yetu kuu ni kutangaza injili Kwa kila lugha na jamaa wale wote Watakao amini wabatizwe kwa maji mengi Sisi wanamsingi wa imani tumekusanyika Kama kikundi, nia yetu kuu ni kutangaza injili Kwa kila lugha na jamaa wale wote Watakao amini wabatizwe kwa maji mengi Sisi tu familia moja, cha kututenganisha hakuna, Kazi ya Bwana lazima tumalize (taji) latungoja mbinguni (mwisho wa Sa.) .fari yetu, (Nasema taji) latungoja mbinguni (mwisho wa sa.) .fari yetu Sisi tu familia moja, cha kututenganisha hakuna, Kazi ya Bwana lazima tumalize (taji) latungoja mbinguni (mwisho wa Sa.) .fari yetu, (Nasema taji) latungoja mbinguni (mwisho wa sa.) .fari yetu Sote tuwasafiri wa mbinguni, Twahitaji kuhimizana sote nikilemewa uku Nishike mkono, tusonge mbele safari ni ngumu Kinitabakari nitaanguka hukumu yangu ikawa juu Yako ni furaha yangu tupate uzima sisi sote tukafurahi Sote tuwasafiri wa mbinguni, Twahitaji kuhimizana sote nikilemewa uku Nishike mkono, tusonge mbele safari ni ngumu Kinitabakari nitaanguka hukumu yangu ikawa juu Yako ni furaha yangu tupate uzima sisi sote tukafurahi Sisi tu familia moja, cha kututenganisha hakuna, Kazi ya Bwana lazima tumalize (taji) latungoja mbinguni (mwisho wa Sa.) .fari yetu, (Nasema taji) latungoja mbinguni (mwisho wa sa.) .fari yetu Sisi tu familia moja, cha kututenganisha hakuna, Kazi ya Bwana lazima tumalize (taji) latungoja mbinguni (mwisho wa Sa.) .fari yetu, (Nasema taji) latungoja mbinguni (mwisho wa sa.) .fari yetu Sisi tu familia moja, cha kututenganisha hakuna, Kazi ya Bwana lazima tumalize (taji) latungoja mbinguni (mwisho wa Sa.) .fari yetu, (Nasema taji) latungoja mbinguni (mwisho wa sa.) .fari yetu