Tunasumbukia vyakula Nayo mavazi yaishayo Hata tumemuasi Mungu Hatujui ndiye Muumbaji Pendo la dunia la tuchanganyisha Linatupeleka dhambini Tusisumbukie maisha ya kesho Tule nini tuvae nini Na Mungu Muumba Yuko kwenye Kesho Tufikapo ata tuongoza Tusisumbukie maisha ya kesho Tule nini tuvae nini Na Mungu Muumba Yuko kwenye Kesho Tufikapo ata tuongoza Ni mshindi Mshindi Kwenye vita vya maisha Mkarimu, Tajiri Atatukirimia Ni mshindi Mshindi Kwenye vita vya maisha Mkarimu, Tajiri Atatukirimia Hakuna mtu atatumikia mabwana wawili Popote Atamchukia mmoja Na kumpenda yule mwingine Giza na mwanga havitangamani Fanya uchaguzi utembeapo Chagua Ibilisi au Bwana Yesu Chagua Ibilisi au Bwana Yesu. Tunasumbukia vyakula Nayo mavazi yaishayo Hata tumemuasi Mungu Hatujui ndiye Muumbaji Pendo la dunia la tuchanganyisha Linatupeleka dhambini Tusisumbukie maisha ya kesho Tule nini tuvae nini Na Mungu Muumba Yuko kwenye Kesho Tufikapo ata tuongoza Tusisumbukie maisha ya kesho Tule nini tuvae nini Na Mungu Muumba Yuko kwenye Kesho Tufikapo ata tuongoza Ni mshindi Mshindi Kwenye vita vya maisha Mkarimu, Tajiri Atatukirimia Ni mshindi Mshindi Kwenye vita vya maisha Mkarimu, Tajiri Atatukirimia ♪ Asema Paulo marafiki wabaya Huboronga wenye maadili Chagua Umati mzuri JE? Twaweza pataje kizuri Toka kwa kitu kile kilichooza Chagua kwa hekima Asema Paulo marafiki wabaya Huboronga wenye maadili Chagua Umati mzuri JE? Twaweza pataje kizuri Toka kwa kitu kile kilichooza Chagua kwa hekima Tunasumbukia vyakula Nayo mavazi yaishayo Hata tumemuasi Mungu Hatujui ndiye Muumbaji Pendo la dunia la tuchanganyisha Linatupeleka dhambini Tusisumbukie maisha ya kesho Tule nini tuvae nini Na Mungu Muumba Yuko kwenye Kesho Tufikapo ata tuongoza Tusisumbukie maisha ya kesho Tule nini tuvae nini Na Mungu Muumba Yuko kwenye Kesho Tufikapo ata tuongoza Ni mshindi Mshindi Kwenye vita vya maisha Mkarimu, Tajiri Atatukirimia Ni mshindi Mshindi Kwenye vita vya maisha Mkarimu, Tajiri Atatukirimia Kama ndege wakosavyo wahaka, Juu ya maisha haya Hawana mashamba Au mahala Lakini sifa zao haziyumbishwi Tunasumbukia vyakula Nayo mavazi yaishayo Hata tumemuasi Mungu Hatujui ndiye Muumbaji Pendo la dunia la tuchanganyisha Linatupeleka dhambini Tusisumbukie maisha ya kesho Tule nini tuvae nini Na Mungu Muumba Yuko kwenye Kesho Tufikapo ata tuongoza Tusisumbukie maisha ya kesho Tule nini tuvae nini Na Mungu Muumba Yuko kwenye Kesho Tufikapo ata tuongoza Ni mshindi Mshindi Kwenye vita vya maisha Mkarimu, Tajiri Atatukirimia Ni mshindi Mshindi Kwenye vita vya maisha Mkarimu, Tajiri Atatukirimia Tunasumbukia vyakula Nayo mavazi yaishayo Hata tumemuasi Mungu Hatujui ndiye Muumbaji Pendo la dunia la tuchanganyisha Linatupeleka dhambini Tusisumbukie maisha ya kesho Tule nini tuvae nini Na Mungu Muumba Yuko kwenye Kesho Tufikapo ata tuongoza Tusisumbukie maisha ya kesho Tule nini tuvae nini Na Mungu Muumba Yuko kwenye Kesho Tufikapo ata tuongoza Ni mshindi Mshindi Kwenye vita vya maisha Mkarimu, Tajiri Atatukirimia Ni mshindi Mshindi Kwenye vita vya maisha Mkarimu, Tajiri Atatukirimia Ni mshindi Mshindi Kwenye vita vya maisha Mkarimu, Tajiri Atatukirimia