Imbeni sifa wasafiri wa mbingu, nyimbo tamu nyimbo zenye furaha Pigeni zeze pigeni tarumbeta, sauti zenu zitoe sifa kwa Bwana Imbeni sifa wasafiri wa mbingu, nyimbo tamu nyimbo zenye furaha Pigeni zeze pigeni tarumbeta, sauti zenu zitoe sifa kwa Bwana Njooni nyote tumwimbie Bwana maana yeye ametenda mema, japo tulitanga mbali na Bwana, mikononi mwake alitubeba Pendo lake ni pendo la agape, alitupenda na hatatuacha alihaidi atakua nasi imbeni sifa milele daima Njooni nyote tumwimbie Bwana maana yeye ametenda mema, japo tulitanga mbali na Bwana, mikononi mwake alitubeba Pendo lake ni pendo la agape, alitupenda na hatatuacha alihaidi atakua nasi imbeni sifa milele daima Pigeni zeze pigeni tarumbeta, walio gizani waone nuru (ya kwamba) waliofungwa na mwovu wawe huru neema ya Bwana itawaweka huru Njooni nyote tumwimbie Bwana maana yeye ametenda mema, japo tulitanga mbali na Bwana, mikononi mwake alitubeba Pendo lake ni pendo la agape, alitupenda na hatatuacha alihaidi atakua nasi imbeni sifa milele daima Njooni nyote tumwimbie Bwana maana yeye ametenda mema, japo tulitanga mbali na Bwana, mikononi mwake alitubeba Pendo lake ni pendo la agape, alitupenda na hatatuacha alihaidi atakua nasi imbeni sifa milele daima Njooni nyote tumwimbie Bwana maana yeye ametenda mema, japo tulitanga mbali na Bwana, mikononi mwake alitubeba Pendo lake ni pendo la agape, alitupenda na hatatuacha alihaidi atakua nasi imbeni sifa milele daima Njooni nyote tumwimbie Bwana maana yeye ametenda mema, japo tulitanga mbali na Bwana, mikononi mwake alitubeba Pendo lake ni pendo la agape, alitupenda na hatatuacha alihaidi atakua nasi imbeni sifa milele daima