Kwa yesu ninapata utulivu, Natua mizigo yote kwake Faraja kwa wote wenye imani, Wanyonge wanapata nguvu Najivunia pendo la yesu, Rafiki wa karibu Ni rafiki mwema kwa wenye imani Hatatuwacha tukimwamini yeye Kwa yesu ninapata utulivu Natua mizigo yote kwake Faraja kwa wote wenye imani, Wanyonge wanapata nguvu Najivunia pendo la yesu, Rafiki wa karibu Ni rafiki mwema kwa wenye imani Hatatuwacha tukimwamini yeye Pepo zivume sitikiswii, Ametangulia anishughulikia Rafiki mwaminifu hunijaza pumzi, Ushindi juu yangu Pepo zivume sitikiswii, Ametangulia anishughulikia Rafiki mwaminifu hunijaza pumzi, Ushindi juu yangu Tulia ndugu yesu yu kando yako, Atujali wacha yesu atawale Linda imani ndugu kaza kamba , Natupige vita vita vya imani, Twujivunie pendo la yesu rafiki mwaminifu, Ni mkombokozi tena mshindi wetu Tutaze mwendo tufike mb inguni Tulia ndugu yesu yu kando yako, Atujali wacha yesu atawale Linda imani ndugu kaza kamba, Natupige vita vita vya imani, Twujivunie pendo la yesu rafiki mwaminifu, Ni mkombokozi tena mshindi wetu Tukaze mwendo tufike mb inguni Pepo zivume sitikiswii, Ametangulia anishughulikia Rafiki mwaminifu hunijaza pumzi, Ushindi juu yangu Pepo zivume sitikiswii, Ametangulia anishughulikia Rafiki mwaminifu hunijaza pumzi, Ushindi juu yangu