1.
Chukua udongo tena, udongo tena, Bwana kama vile shambani Edeni (
Edeni) Tengeneza tope kama kwa kipofu,
Kaa ufinyange tena moyo wangu Bwana (nasema) kuta zilizobomoka
Simamisha tena,umba tena mawazo yangu Bwana,
Niwaze ya mbingu tu eeh Bwana,
Bwana finyanga, umba tena kama zamani!

Nilipobomoka, Bwana umba tena viganjani mwako nigeuze tena.
Yachunguze mianya ya dhambi maishani Bwana uyazibe mie
Nitope tu, nawe mfinyanzi nitengeneze tena upya, geuza nia zangu!
Niangaze tena (tena, tena) Mwanga wa bingu kwa utukufu wako.

2.
Mawazo na nia zangu, na nia zangu,
Yamejengwa kwayo ya muda kitambo, yadumuyo kwangu kweli ni zogo tu,
Matarajio yangu ni kwa yasiyo dumu.(
Nasema) Bwana uniwie tamu yale ya mbingu,
Nataka nionje utamu wa pendo,
(Wa pendo) kisha nibarizi kwalo dawamu
Bwana finyanga umba tena kama zamani.

Поcмотреть все песни артиста