Kishore Kumar Hits

Girls Against Boys - Viva Roma Star - Remastered lyrics

Artist: Girls Against Boys

album: House of GVSB (25th Anniversary Edition)


Nimeshapigwa Sana mkwala Na Jumbe Za vitisho
Ila siamini huu Msafara Ni vibaraka Wa mrisho,
Situlianza Sawa vita ya Kuitetea IKULU
Leo umeisaliti Ukawa Kwenye sherehe Za Uhuru, Uhuru Uko Wapi Mnasherekea Uhuru,
Uhuru Wa kutowafilisi viongozi wakijiuzulu,
Na wanaokufa Maskini Wanangu Wa Burya Nkuru
Mungu Aliwapa Madini Mnambinafisisha Mkaburu, Bungeni Sioni Kinachoendelea Naona Wasomi Wakisutana Umbea,
Wengine walishikwa ugoni Picha zilienea Hamuwaoni Bungeni Afu Bado Mnawalea,
Mambo Ya...
Spika Anabadilisha Mada Akiona Chama tawala amezalilishwa kada
Spika Wa Bunge Ona Analinda Watu Wa Chama Chake
Na Bunge Ni Lawatu Wote Siyo Chombo CHA Watu Wachache,
Safari Ya Rais Eti Tume Inaundiwa
Tume Wakati mwananyamala Wanatibu Tezi Dume
Kadi Ya Chama Nachana, Nanyongea Ganja Navuta
Nikamateni Si
Mlimshindwa Tibaijuka,
Leta Defender Leta wajeda Leta Wagambo
Roma Nimejitoa Sadaka
Na Mlitaka Kuniua
Hiki Kichwa Sifii Hapa Nichinjeni Mkanitupe Kwenye Daraja La Mkapa, Motherfu**** Walafi Wa Madaraka Hata Nyerere, Gadafi Siwalikufa Kwa Mashaka
So Hakuna Kiongozi Msafi Je Nani Mwenye Mamlaka Anitajie Mtt Wa Rais anayesoma shule Ya kata
Viva Roma
Katiba Ni sauti Ya Umma Na Kuna Uhuru Wa Kuongea nanyie Ndio mmenituma mpo Tayari kunitetea,
Wilaya Nafanya Mkoa Ili wapange washikaji,
Mkuu Wa wilaya changudoa
Hii Ni miradi Ya upigaji Watasafirisha nyani Sisi tunashangaa twiga utamfunga nani Ye mwanasheria mkuu Ni maswahiba
Na Wasanii tuombee Rais ajaye Asipende Tu Vikuu, Watalii Kwa wapemba tutamuona lukuvi Unampigiaje Kura FISI awaongoze mbuzi kwaongo NDOGO Ya kipisi unampa IKULU mlanguzi, Geita Mlinyimwa Dhahabu Watawalaghai Kwa vitenge Napata Kwa gadhabu, Propaganda Za Bunge wasee, Ngerema ukistaajabu Ya Rema Utayaona Ya Mrema Ona Pepo LA Uslaiti Linaitafuna Chadema Kwetu Rais Ni taasisi inayochaguliwa Na mfumo Sisi wawakilishi Na Kwenye Maamuzi hatumo, Watoto Wao wanauza ngada Baba fisadi mama anafanya ukahaba yupi Mwema kiitikadi Na vita Ya mahakama Ya kazi Ni Uhasama wawazi Yaani unaiska bikra Ndani Ya wodi Ya Wazazi, Nipige Risasi Ya utosi Si ndo nidhamu Ya utawala Maana waliomuua Mwangosi Waliongezewa Mshahara, Dr.
Mvungi Ona Dah!
Wakamzawadia Jeneza Na Awafungwi Nipe Case Nitaimba Ndani Ya Gereza peperusha bwndera Viva Roma Viva Mbona Mama Yako Anauza Gongo Na Gongo Ndio Iliokulea Hadi Leo umekuwa Police Na Umpeleki Segerea Life Is Not Fair Police Mna Maisha Gani ...
Tunakufa Maskini Kwa Kuwatetea Wanyang'anyi
Peperusha bendera viva Roma viva
Hakuna Mtt Asiye Na Mzazi Yupi Wa Serikali Ya Tatu Mikataba iweke Wazi Demokrasia Ni Watu Ona sasa Kila Msomi Anaikimbilia Siasa Nchi Itajengwa Na Nani, Ajira Imekuwa Serious Wanafanya Biashara Haramu, Bado Awalipi Kodi Nani Atahoji Na Hao Ndio Wazamini Wa Bodi Jasho Analila Mzungu Wachimbaji Wadogo Wa migodi Au Mnataka Ivan Aje Awe Mfuasi Wa Panya Road Pesa sherehe Za muungano amzingatii itifaki wanafunzi mnawachoma JUA Na shule Hawana madawati Mnalipa Mishahala Hewa, Na Amlipi Mafao Walimu, Na Mlimpiga Warioba Alivyowaletea Rasmu
Nchi Inalima Pamba Nyinyi Mmeua Viwanda
Tunauzia wawekezaji Ona Dora inapanda tunageuka waagizaji Kisha wanatuuzia mitumba uchumi unayumba Leta fujo Upigwe Kama Lipumba, Nakutabiri Nani Afate karibu tanga kunani ...
Round Hii Kombe Linaenda Monduli Masai Yellow Subhai ...
Kama mawa kama Dawa Kombe Linabaki Ukawa, Mmarekani anataka wese we Hakuna Atakayepona, Na Mchoma Akifata Gase Mwambie Nangwanda Sijaona

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists