Kipenda roho, kipenda roho... Kipenda roho, kipenda roho hula nyama mbichi Kipenda roho haoni wala hasikii Akipenda anapenda oh Akipenda hasikii Kipenda roho, kipenda roho... Eeh ni ya nini wee mgugu Wala penzi ya nini wee mnyama Jamaa kimajini wanazaana oh Kunguru ukiona jioni wanapita kwa wingi wanafunga ndoa eeh Kipenda roho, kipenda roho... Eeh ni ya nini ubaguzi Eeh ni ya ni na ubaguzi Eeh mi ningalikuwa na ubaguzi Jinsi wabaya ungelia oh Sisi wabaya tulipata kitu Sisi ni wee na hatungesema tena eh Lakini penzi halina ubaguzi Mbele mapenzi kiwete anatembea Mbele mapenzi kiwete anapakatwa Alafu 'tashikwa na mshangazo Kiwete ana mtoto Alafu 'tashikwa na bumbuwazi Kichaa ana mimba eeh Amepata mshikaji wake Kipenda roho, kipenda roho Kipenda roho, kipenda roho... Eeh nyi wakula pole Eeh nyi wanijali umeokoka Wee unasema umeokoka eeh Kwanza una mke na watoto Wale watoto umewazaazaa vipi baba Na mama watoto usipo na... Kipenda roho, kipenda roho... Jamani siku hizi mapenzi yameogopewa eeh Ukimwi umeota mizizi kwa mapenzi Kutomboza tunaogopa Hata kupenda tunaogopa Ukimwi umeota mizizi Siku hizi hakuna tena mapenzi Siku hizi mapenzi yamekufa eeh Mama yako aliolewa na mapangala Lakini wasichana wa Dar Salaama eeh Wanataka pesa Kipenda roho, kipenda roho