Kishore Kumar Hits

Remmy Ongala - Mariam Wangu lyrics

Artist: Remmy Ongala

album: Songs for the Poor Man


Aya Anza sasa Anza sasa
Ataka yote akosa yote a pita gaika
Sijui la kufanya
Ah sijui la kufanya
Mshika mawili yote yamponyoka Peter kebakeba sijui la kunitetea
Mmmhh mapenzi yawaka moto
Naitika niliomkosea sasa unihurumiee
Sina mnaemfikiri zaidi kuliko wewe
Nakonda kama mnazi kwa mapenzi nililo nayo
Nilalapo nakuota mchana kutwa silehh
Moyo wanichechemea mwili damu kauka mpenzi ehh!! Mmhh mapenzi
Ataka yote akosa yote a Peter angaika sijui la kufanya
Ah sijui la kufanya Ah
Mshika mawili yote ya mponyoka peter kebakeba sijui la kunitetea
Mhhh mapenzi ya waka moto
Naitika niliokosea sasa unihurumie
Sina mnaemfikiri zaidi kuliko wewe
Nakonda kama mnazi kwa mapenzi nilo nayo
Nilalapo nakuota mchana kutwa siliehh
Moyo wanichechemea mwili damu kauka
Ah mpenzi ehh
Mmm mpenzi ehh
Ehhhhh
Nasumbuka kwako nionavyo moyo wangu uh
Wewe ndie dawa yangu ehh
Dawa yangu uhhh
Mariamu wangu oohh
Mariamu mimi ehhh
Wangu mwenyewe ehhh
Sikuchangia na mutu uh
Nashika Ukanda mwenyewe ehh
Tafadhali ooohhh
Waja leo ondoka leo
Waja leo warudi leo
Wataka leo wapata leeeeo
Mariamu wangu ehh
Wangu ehh
Wangu uhhh
Wangu ohh
Wanguuhh
Mariamu wangu mama mama mammaaaa
Mariamu mimimimimimihhh ehh
Ehhh mimi mimimimimiehhhh
Wangu ehh
Wangu uhhh
Wangu ohhh
Wanguuhh
Wangu ehhh
Ntakaa mbali ohh
Waja leo ondoka leo
Waja leo warudi leo
Mwenzenu Sina pumuzi kunizuia siwezi
Ohh ohhh
Mwanaume barabara kazi ya mume kwa muke eh
Neno ya muke chumvi kwa mumewe
Neno ya muke kachumbari kwa mumewe
Yote kwa mume mememememehhh
Wangu ehh
Wangu uhh
Mariamu wangu ohhh
Wangu uh
Penzi ohh penzii
Mburudiko wash
Mburudiko wahh
Mburudiko wahh
Mburudiko wahh
Mburudiko wahh
Mburudiko wahh
Mburudiko wahh
Mburudiko wahh
Mburudiko wahh
Mburudiko wahh
Mburudiko wahh
Mburudiko wash
Ehhhh

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists