Kishore Kumar Hits

Daudi Kabaka - Harambee Harambee lyrics

Artist: Daudi Kabaka

album: The Very Best Of Daudi Kabaka


Harambee harambee tuimbe pamoja
Harambee harambee tuimbe pamoja
Harambe harambee tuimbe pamoja
Tujenge serikali
Wengi walisema kenya itakuwa matata ×3
Watu wote wastaarabu
Wananchi harambee tuvute pamoja ×3
Muongoze na usalama
Watu wa kenya hatuna ubaguzi×3
Kila rangi tunaipenda
...

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists