Kishore Kumar Hits

Nandy - Binadamu lyrics

Artist: Nandy

album: Binadamu


Yaay
Haaa
(Binadamu)
The African Princess
Haikuwa rahisi kuwa hapa nilipofika
Mungu amebariki mpaka leo nasikika
Tena at least nowadays nina uhakika wa kupata japo kidogo na naridhika
Hawakutaka niwe hapa now
Wanapambana kila siku wawe hapa wao
Hawataki niwe zaidi yao
Wanataka kila siku niwe chini yao
Binadamu bwana
Hawana maana
Hawapendi tufanikiwe sana
Hawana maana
Wangekuwa mama nahisi wangeniachia laana
Wanakunja Mungu anakunjua
Wanafunga milango ya baraka nafungua
Nashukuru hili tambo si hatua na nilipotoka Mungu pekee ndio anajua
(Binadamu)
(Binadamu)
Ha ha ha (Hao)
Ha ha ha (Binadamu)
Midomo yao sumu
Kauli zao zinauma
Ila naye Mungu yeye ndio muweza
Midomo yao sumu
Kauli zao zinauma
Ila naye Mungu yeye ndio muweza
(Binadamu)
(Eeeh Oooh)
Wanasemaga one for the money, two for the show
Cha kwanza kwangu utu, jasiri wa roho
Wa kuvumilia mengi mabaya na kupunguza stress lengo lao ni ubaya
Wanataka kunizima kipaji, ni kama kuficha ice kwenye maji
Hawajui kuwa Mungu ndio mpaji
Nayafunga mabaya majaribu ndio mtaji
Najikongoja na nashika moja ile kisojasoja (aah)
Maneno hayanyimi pumzi
Kunidiscuss kwanza ndio mnaniongezea maujuzi
Ha ha ha (Hao)
Ha ha ha Binadamu (Binadamu)
Midomo yao sumu
Kauli zao zinauma
Ila naye Mungu yeye ndio muweza
Midomo yao sumu
Kauli zao zinauma
Ila naye Mungu yeye ndio muweza
Binadamu (Binadamu)
(Eeeh Oooh)
Tunaishi mara moja sasa roho mbaya za nini
Ha ha ha (Hao)
Zamu yako ingoje kesho usihangaike na mimi
Ha ha ha (Hao)
Kesho yetu hatuijui sasa roho mbaya za nini
Ha ha ha (Hao)
Uuuuh yaaay eeeh
(Binadamu)
(Binadamu)

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists