Mbinafsi wewe kila kitu upewe wewe Mbinafsi wewe kila siku upewe wewe Wakikuomba msaada unawanyima msaada Kila kitu upewe wewe Wakikuomba msaada unawanyima msaada Kila siku upewe wewe Oh oh no, kila kitu upewe wewe Ah ah no, kila siku upewe wewe Sikupi hakuna, hatukupi hakuna Hakuna msaada hatukupi hakuna Sikupi hakuna, hatukupi hakuna Hakuna msaada hatukupi hakuna Hatukupi wewe, hatukupi wewe Hatukupi wewe, kila siku upewe wewe Tukikuomba hutoi msaada Lakini wewe wataka msaada kwetu Ukiombwa hakuna msaada Lakini wewe wataka vya watu Sikupi hakuna, hatukupi hakuna Hakuna msaada hatukupi hakuna Sikupi hakuna, hatukupi hakuna Hakuna msaada hatukupi hakuna Hatukupi wewe, hatukupi wewe ...iih Mbinafsi wewe kila kitu upewe wewe Mbinafsi wewe kila siku upewe wewe Wakikuomba msaada unawanyima msaada Kila kitu upewe wewe Wakikuomba msaada unawanyima msaada Kila siku upewe wewe Oh oh no, kila kitu upewe wewe Ah ah no, kila siku upewe wewe Sikupi na hatukupi na Sikupi wewe, sikupi wewe Hatukupi na, sikupi na Hatukupi wewe... Kila kitu upewe wewe