Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Kaditamati naapa, muhogo sitonunua Haikuwa Maimuna aliyekwenda ung'oa Kaditamati naapa, muhogo sitonunua Haikuwa Maimuna aliyekwenda ung'oa Kapata tete kuanga, na ugonjwa wa surua Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Kula dori kula dori, mshindo wa sufuria Gulili gulili, kofia inavuliwa Kula dori kula dori, mshindo wa sufuria Gulili gulili, kofia inavuliwa Ndiye mimi ndiye mimi, afataye ukoa Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo ♪ Mtu akitaka kupa, hakuletei barua Hukupa usingizini pasi mwenyewe kujua Mtu akitaka kupa, hakuletei barua Hukupa usingizini pasi mwenyewe kujua Kwenda mbio si kupata, bure unajisumbua Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Mkato wake matege, wakati anapokuja Aliiweka dhamiri ya kumvulia koda Mkato wake matege, wakati anapokuja Aliiweka dhamiri ya kumvulia koda Wallahi nimeghairi, kiumbe hana mmoja Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo ♪ Kamfunge kamfunge beberu wa Athumani Umfunge umfunge pahala panapo jani Kamfunge kamfunge beberu wa Athumani Umfunge umfunge pahala panapo jani Endaeke sina hofu, atarejea ngamani Mhogo wa Jang'ombe, sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Sina ngoa sina ngoa, kuwa daiwa sitaki Ni mwerevu ni mwerevu, wallahi sihadahiki Sina ngoa sina ngoa, kuwa daiwa sitaki Ni mwerevu ni mwerevu, wallahi sihadahiki Pambanua pambanua, viwili havipendeki Mhogo wa Jang'ombe, sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo Mhogo wa Jang'ombe sijaulamba mwiko Usitukane wakunga na uzazi ungalipo