Kishore Kumar Hits

King Kaka - Maliza Na Pombe (Remix) lyrics

Artist: King Kaka

album: Maliza Na Pombe (Remix)


Leo namaliza na pombe
Nataka nimalize na pombe
Leo namaliza na pombe
Nataka nimalize na pombe
Nimekuwa na siku mbaya (Eeh siku mbaya)
Mfuko economy mbaya (Economy mbaya)
Morio ashavuta waya (Ashavuta waya)
Na anadai ako ganji mbaya (Ako ganji mbaya)
Leo nakunywa vile mi huwakunywa (Kunywa)
Pesa inaniwasha najikuna
Nyama kwa nyama hapo Njuguna's
Haibambi, I'm not boarding ka Miguna
Hey is it true niliona IG
Niko na form nishow ID
She said am between 18 and 24
Nikamshow mi huwaka na kina Joe Muchiri
Basi twende hivi 1824 Pombe tu sigara niliachia kina Nviiri
Si wewe ndo huniitaga kang Kaka
Naona unanizaa basi leo utanipata
Nimekuwa na siku mbaya (Eeh siku mbaya)
Mfuko economy mbaya (Economy mbaya)
Morio ashavuta waya (Ashavuta waya)
Na anadai ako ganji mbaya (Ako ganji mbaya)
Leo namaliza na pombe (Maliza na pombe)
Nataka nimalize na pombe (Maliza na pombe)
Leo namaliza na pombe (Maliza na pombe)
Nataka nimalize na pombe (Maliza na pombe)
Waiter leta maji mingi
Nimeanza kupeana masiri
Nimeanza kupandwa na mafeelings
Nafuata fuata kila mini
Huyo ako 20 ama hamsini
Zile vitu naona aki siamini
Zile vitu nafanya sio mimi
Forgive me
Yeah I'm so curious ka uko serious
Nipe confirmation
Uber vile inakimbizwa manze wasitupitishe
Hizi ni zile tam critical, silali mpaka kesho
Pombe ni temptation kuanza vacation
Nimekuwa na siku mbaya (Eeh siku mbaya)
Mfuko economy mbaya (Economy mbaya)
Morio ashavuta waya (Ashavuta waya)
Na anadai ako ganji mbaya (Ako ganji mbaya)
Leo namaliza na pombe
Nataka nimalize na pombe
Leo namaliza na pombe
Nataka nimalize na pombe
Toka toka haraka, toka haraka
Easy tupende anasa
Toka toka haraka, toka haraka
Easy tupende anasa
Toka toka haraka, toka haraka
Easy tupende anasa
Toka toka haraka, toka haraka
Easy tupende anasa

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists