Uuuu eee eeeh woooo Naomba baba Ninaomba Mikono nimeinua Nishike baba unifiche Mikononi mwako Nionyeshe baba wema wako Unifanye chombo chako Ninaomba Naomba Baba mi naomba Sikudhani mimi nimekupa huzuni kiasi hicho Dhambi nyingi maombi hayatoki Nisamehe baba Uchovu na uvivu umenijaza moyoni Sina amani Naomba unipe raha msamaha Naomba uwashe taa Popote niendapo chochote nifanyacho sasa Nifungue macho Nipate kuona na kuhisi Nipate upako wako Naomba baba Ninaomba mikono nimeinua Nishike baba unifiche Mikononi mwako Nionyeshe baba wema wako nifanye chombo chako Ninaomba naomba Baba mi naomba Sikudhani mimi nikiteleza Nakusulubu tena Uchungu mwingi machozi yakutoka we Nisamehe baba Nizibie ufa nisijenge ukuta bwana Umetukuka Naomba unipe raha msamaha Naomba uwashe taa Popote niendapo na nifanyacho sasa Nifungue macho Nipate kuona na kuhisi Nipate upako wako Naomba baba mi naomba Mikono nimeinua Nishike baba Unifiche Mikononi mwako Nionyeshe baba wema wako Nifanye chombo chako Ninaomba naomba Ba mi naomba Aia baba mi naomba