Kishore Kumar Hits

Christina Shusho - Ni Kwa Neema lyrics

Artist: Christina Shusho

album: Nipe Macho


Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Hii upendo leo, sikustahili
Nilikua mfungwa, nimewekwa huru
Amenipa uzima, wakati nilistahili kifo
Amenifanya mwana, niliyekuwa mfungwa
Wokovu nilio nao ni kwa neema tu
Alijitoa Yesu, aniokoe
Aliacha enzi, na utukufu mbinguni
Kanino mwenye dhambi, kaniokoa
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Uhai nilio nao, ni kwa neema tu
Elimu ulio nayo, ni kwa neema tu
Heshima uliyo nayo, ni kwa neema ndugu yangu
Cheo ulicho nacho, ni kwa neema tu
Mali ulizo nazo, ujue ni kwa neema tu
Huduma niliyo nayo, najua ni kwa neema tu
Ningetakiwa cheti, ningetoa wapi mie?
Ila neema yake Mungu wangu ukaniona, ni kwa neema
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Hallo, hallo
Hallo, hallo
Hallo, hallo
Hallo, hallo
Hallo, hallo
Hallo, hallo
Hallo, hallo
Hallo, hallo
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu
Ni kwa neema tu

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists