Kishore Kumar Hits

Kwame Rígíi - Aki Wewe lyrics

Artist: Kwame Rígíi

album: Malkia


Hio day
Tulipopatana baby
And I say
Utajakuwa my lady someday
But not today
Nakucelebrate
Singing love songs
Wewe na mimi
Hapa na sasa
Under kivuli cha mwezi
Tukitazama the stars
Wewe na mimi
Hapa na sasa
Under kivuuli cha mwezi
Tukitazama the stars
Baby mwah, mwah, aki wewe
Baby mwah, mwah,
Si utani baby, no no
Mwah, mwah, aki wewe
No no mwah,mwah, aki wewe
Ushawahi pendana na msichana
Uzuri, urembo tabia za furahisha na
Ukikumbuka hio yake sura
Huwa unakosa subira
Ukijuiliza lini tena utamuona
Sinimeelewa, nimeelewa, nimejua
Ukishapendaga, hakuna kuchoka
Ukishapendaga, hakuna mipaka
Si, nimeelewa ukishapendaga hakuna mipaka
No no.
Baby, mwah, mwah, aki wewe
Baby mwah, mwah,
Si utani baby, no no
Mwah, mwah, aki wewe
No no mwah, mwah, aki wewe
Aki wewe message ya love
Nikimassage your heart
Nakupenda juu, umekuwa namithorugh
Thick and thin sasa nina everything
You will need
Si kwa Mola
Nilikneel down on one knee nikakuvisha ring
Si siri, si siri baby, si siri baby baby
Mwah, mwah, aki wewe
Baby mwah, mwah,
Si utani baby, no no no no
Mwah, mwah, aki wewe
Baby mwah, mwah
Si utani baby, si utani, No no no
Mwah, mwah, aki wewe
Mwah

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists