[ Acha waambiane wasemezane mabaya yako Ila wataambiana wema wa mungu maishani mwako ] Acha waambiane wasemezane mabaya yako ila Wataambiana wema wa mungu maishani mwako. Usikate tamaa na yale unayo yaona atakama uko chini sana na juwa Wataambiana wewe ni masikini lakini usichoke iposiku wa tasema. Najuwa wataambiana wewe ufahi na umesha tembea na wanaume wengi Utakapofika wakati wakuinuliwa aa utashanga wakiambiana tena. Ati yule mwana mama aliekuwa ni kahaba ameolewa sasa anafamilia yake. Utasikia tena yule aliekuwa kikaragosi Leo anatembelea gari, wataambiana weee. Acha waambiane wasemezane mabaya yako ila Wataambiana wema wa mungu maishani mwako. Acha waambiane wasemezane mabaya yako ila Wataambiana wema wa mungu maishani mwako. Neno hili limekuwa lakawaida kwako lakini nilanamaana kubwa, Waweza kuona wanadamu wana tembea kimya kimya ila wame tunza mengi Miyooni mwao, Usijekuona wanacheka na wewe ujuwi miyooni mwao wameweka nini, Unaweza ona wamekusalimia kwafuraha zote, Ilakumbe wamesha ambiana kama yule pale ati ni muhazirika wa ukimwi Mara yule pale ni mgumba, Ati yule pale alifeli kilatu cha Nne, na yule pale hana ada ya masomo. Acha waambiane wasemezane mabaya yako Ipo siku wataambiana tena vile mungu Atavyo kuinuwa baba lazima wataambiana tena Acha waambiane wasemezane mabaya yako Lazima mama wataambiana tena utasikia yule mgumba sasa amezaa, Alie feli siku izi ana degri, Utasikia mengi na uta mtukuza mungu, ibyo usife moyo acha waambiane Acha waambiane Acha waambiane wasemezane mabaya yako ila Wataambiana wema wa mungu maishani mwako. Acha waambiane wasemezane mabaya yako ila Wataambiana wema wa mungu maishani mwako. Acha waambiane wasemezane mabaya yako ila Wataambiana wema wa mungu maishani mwako.