Story ba nyokaaa Kamchizi fulani hivi (Rest In Peace) Mamen is more Mhh mhh Ilikuwa za kina bar mida ya kumi, mchizi kashapiga kama chupa kumi Kalewa kajisahau ni most wanted Nyokaa mchizi wa unga limited Longa longa basi sikuizi vinafanya kazi Longa longa mda mrefu wakashtuliwa wazee wakazi (come on) Wakaibuka na pira lenye chata la chui Nyokaa alikuwa na chale na ubedui Akatoa pistol kiunoni kuwashut polisi Moja nyuma ya gari alikuwa kashika kipisi cha shortgun Akamlenga begani Mchizi akataka jibu akawa anapiga hewani Katokea mchizi mmoja kamlenga ya kichwani Kachaa kadondoka Flat akanyokaa Akawekwa kwenye Wanten akapelekwa mochwali Kashafanya mambo mengi ya hatari Hakuwa na roho ya huruma Kipindi cha uhai wake nyuma Nyokaa! Ibilisi alimsukuma Mungu amlaze mahali pema Peponi amen Hakuwa na roho ya huruma Kipindi cha uhai wake nyuma Nyokaa! Ibilisi alimsukuma Mungu amlaze mahali pema Peponi Amen Aliingia Selen Breeze moja tunadroo hela Mimi Pcb na Yuzzo msela Alikuwa na machizi wake wako kama sita Wakakalisha benki mzima wakachukua m6 Ukafanyika msako mkali hawakuonekana Nyokaa na Totoo hizimoo walilingana Ucriminal walioufanya ulishindika Labda huyo marehemu Tobii kidogo uliendana Msala ulipozidi nyokaa akaamia polini Akajimiksi na Apollo lakini haendi chini Wakaanzisha kigenge cha kutyme mabrooker Na kofia za mawe kwenye kempu zinazotoka Wazee wakapata taarifa zao Sema ni ngumu kuwashika machizi wanamtandao Ikifika weekend kambi inaamia mjini Alikuwa na mazoea ya kuminya stendi ya chini Hakuwa na roho ya huruma Kipindi cha uhai wake nyuma Nyokaa! Ibilisi alimsukuma Mungu amlaze mahali pema Peponi Amen Hakuwa na roho ya huruma Kipindi cha uhai wake nyuma Nyokaa! Ibilisi alimsukuma Mungu amlaze mahali pema Peponi Amen Maisha yakazidi kwenda Akazidi jificha Magazeti yote yakatoa zake picha Na chapaa kibao kwa atakae mshika Mchizi kuona hivyo kaanza badilika Hata washkazi zake akaona kama wanamuuza Ukimwangalia kidogo anafikiri unamchunguza Watu waanza mkwepa Ye akaanza sepa Mwisho wa nyokaa ukaanza karibia Akazidi kuwa na roho kama ya ngamia Ye na piki piki bunduki kiunoni Ole wako uwe snichi akutie machoni Akaanza kulewa sana afute mawazo Na Nyokaa pombe sio tabia yake mwanzo Aliwahi kunyuti mahakamani mara tatu Akili ya nyokaa ilikuwa sana fyatu Siku hiyo za kinabar mida ya saa saba Mchana kweupe yupo na kahaba Ndio mwisho wa nyokaa kuishi duniani Yupo palepale maskini burihani Hakuwa na roho ya huruma Kipindi cha uhai wake nyuma Nyokaa! Ibilisi alimsukuma Mungu amlaze mahali pema Peponi Amen Hakuwa na roho ya huruma Kipindi cha uhai wake nyuma Nyokaa! Ibilisi alimsukuma Mungu amlaze mahali pema Peponi Amen ♪ Hakuwa na roho ya huruma Kipindi cha uhai wake nyuma Nyokaa! Ibilisi alimsukuma Mungu amlaze mahali pema Peponi Amen Hakuwa na roho ya huruma Kipindi cha uhai wake nyuma Nyokaa! Ibilisi alimsukuma Mungu amlaze mahali pema Peponi Amen