Ehh najua manze jamaa watoto sana sana wamekua waki complain Sana sana wanasema yaani Kenyan men are very unromantic Nasema pole On behalf of all the men out there Hii ni genge love Inaenda kitu ka hii Ntakupa jamii, ukinijalii Nimeapaa Uwe msanii, huna ganjii Sitakuacha Bora unipe unacho naahidi mgenge mi Nimeapa Mapenzi bora yatudumu mi na wee Bila shaka Mtoto kwangu wewe ni ka maua nispokushughulikua ka kukuwekea maji naeza kuua Nashkilia roho yako fiti ka glasi nisiiachilie sabu jo, naeza ivunja Mtoto wee ni ka thambi au halua Na niko sure utamu ya manzi mnaijua Nyuma ya kila mwanaume anaendelea kimaisha Kuna mrembo anamshkilia anam-support kabisa Manzi wee ni ka pesa yangu kwa benki Nakuhifadhi maisha ya baadaye watoto wengi Siunajua wewe ni ka track noma kwa msani Feeling yenye wee hunipa nikiwa studio ndani Mtoto ni ka hewa ya asubuhi na mapema Jua ikikata wingu smile yako unacheka Saa hii una-blush unadai nakudanganya Ukweli ni ningependa kuomba hizo mbana Ntakupa jamii, ukinijalii Nimeapaa Uwe msanii, huna ganjii Sitakuacha Bora unipe unacho naahidi mgenge mi Nimeapa Mapenzi bora yatudumu mi na wee Bila shaka Mtoto wewe ni ka ndai yangu balaa Vile mimi huishughulikia kuiekea tuu hivi ngataa Na rangi ya power ndio ikae smattaa Shika hii noti kuja tengeza hataa Sura nywele shuglikia na vitu kadhaa Ndio niringie ma boy wangu vile tu umevaa Mtoto najua wewe ni ka paka yangu ya nyumba Nakupapasa mgongo, nywele na sura Matym unaeza kuwa ka simba wa Tsavo Najua hutaki manzi mwengine karibu na boy wako Cheki vile unatembea ka tausi Swagger juu na Maringo nafkiria harusi Mtoto wewe ni ka pete ile ndakuoa nayo Itakwama kwa hii mkono wacha rungu ya nyayo Najua hujazoea kuambiwa vitu ka hizi Genge love ndio una-experience sa hizi Ntakupa jamii, ukinijalii Nimeapaa Uwe msanii, huna ganjii Sitakuacha Bora unipe unacho naahidi mgenge mi Nimeapa Mapenzi bora yatudumu mi na wee Bila shaka Mtoto wee ni ka gazeti mi huwaga nimekusoma Ukinijamia nakuangushia joke moja noma Nishakwambia wewe ni ka vumbi ikishakana na mvua Inanukiaga aroma moja tu ya ki sure Ndio wewe ma cocoa butter ukishajipaka Mapua yangu kwa shingo tu najipata Mtoto kwangu wewe ni ka kitunguu Unanitoaga machozi najikausha tu vigumu Labda waeza sema jo hii story haikubambi Hakuna mahali naenda hapa nadunga kambi Jah jah mwenyewe niko sure akikuona yeye hucheka Malaika wanamgotea moral! vile alikujenga Kuna vitu mob sana naeza ku compare nazo Lakini hii, hii ndio mwisho ya mawazo Wewe ni ka mstari ya mwisho kwa ngoma Venye ina-blend fiti na inaingiza chorus ha Ntakupa jamii Ukinijalii Nimeapaa Uwe msanii huna ganjii Sitakuacha Bora unipe unacho naahidi mgenge mi Nimeapa Mapenzi bora yatudumu mi na wee Bila shaka