Kishore Kumar Hits

Nonini Mgenge2Ru - Kila Mmoja lyrics

Artist: Nonini Mgenge2Ru

album: The Godfather Of Genge


Nilipatana na huu dame mtaa moja California pumwani
Mpaka leo hupanda na mi tu jukwaani
Nikiroga watu na ngoma zangu kali
Niko na yeye kwa hivyo jua tumetoka mbali
Madame karibu wote walikuwa wamepigwa maball
Mtaani ye ndio vajo ananitumia ma-missed call
Anani-like lakini ananichorea
CV yake anaona ni ka tu ntamchomea
Lakini polepole tu ndio mwendo
Kidogo kidogo akaanza kunionyesha tu upendo
Nikamtoa kwa hao mahali alizaliwa
Tukahangaika hangaika kutafuta keja na maziwa
Ye pekee ndio alikuwa na mi hata ka niko chini
Tukinywa strungi na mahamri za hamsini
Musyoka alituweka kwa sq yake akatupa keja
Couple balaa ya genge na mtu natesa
Kila mmoja ataka kujua
Kwa nini niko na wewe
Kila mmoja ataka kujua
Kwa sababu niko na wewe
Kila mmoja ataka kujua
Kwa nini niko na wewe
Kila mmoja ataka kujua
Kwa sababu niko na wewe
Unashughulikia kweli si siri
Juu inakaa ni pale bibi ili mfukoni
Niongeze mali
Kanipeleka safari za mbali kama ndai
Ya bahari
Mahari ndio nangojea
Na nani atajitolea
Jinsi navyokupenda
Ma-hater wanaponda
Kila napokuwa na wee
Wanateta na kukonda
Si baby tulia na mimi
Usiskize wanga
Basi mrembo tulia na mimi
Usiskize wanga
Kila mmoja ataka kujua
Kwa nini niko na wewe
Kila mmoja ataka kujua
Kwa sababu niko na wewe
Kila mmoja ataka kujua
Kwa nini niko na wewe
Kila mmoja ataka kujua
Kwa sababu niko na wewe
Mpango ya ndoa sasa tu ndio tunapanga
Babake naona ni ka atanikata mapanga
Roho juu tunaenda kurasha
Pigia boy wa mine Frasha
Ka unaskiza hii kwa harusi best man ni wewe
Mafans wangu hunishikilianga wagenge
Muda umewadia kuwapatia wajukuu
Tuvigenge tujaze mitaa kupitisha juu
Mimi na wee mimi na wewe
Mtaa wapige kelele
Mimi na wee mimi na wewe
Mpaka milele
Mimi na wee mimi na wewe
Wacha wapige kelele
Kila mmoja ataka kujua
Kwa nini niko na wewe
Kila mmoja ataka kujua
Kwa sababu niko na wewe
Kila mmoja ataka kujua
Kwa nini niko na wewe
Kila mmoja ataka kujua
Kwa sababu niko na wewe

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists