Kishore Kumar Hits

Nonini Mgenge2Ru - Kadhaa Mtaani - Remix lyrics

Artist: Nonini Mgenge2Ru

album: The Godfather Of Genge


Hii ni celebration ya watu wote wale wana-live their dream
Umekuwa uki-struggle through thick and thin
Finally mambo yako imeanza kuenda poa
Through patience na persistence tumetoboa
Waafrika tumefika mahali tulikuwa tunataka
Big up Obama, na huu ni Godfather
Eh oneni hii mambo vile inaenda sasa
Dunia nzima vile mgenge anaandika ukurasa za history bana
Na ma-action na kila kitu jo mi huwanga nafanya
Nani alisema hatuwezi ishi na wasanii
Daily kuwa-prove wrong tunaongeza vitambi
Utasimamishaje kifaru ikiwa full speed mbele
Itapitia na kila kitu fungua pazia wewe
Bora ujue mchezo jo kuicheza kwa uwanja
Wacha hawa watangulie waende jo huko kwanza
Waanze na moto kesha watoe jasho brother
Kijelimo jo unaanza kuwakaribia
Ona sasa vile unawapita ukiwa-smile-ia
Finish line ndio hiyo iko karibu jo imekaribia
Moyo inadunda taratibu inakimbia
Iyo ndoto yako na iyo ndoto yangu mi naishi
Kwa hivyo imba karibia celebrate na mimi
Ka una ganji kadhaa na umeng'ara balaa
Una machupa kadhaa na madada kadhaa
Umetoka kwa bank gari full kwa tank
Wee ni mgenge jamaa umepata wife na jamaa
Niko full mzuka ka MC Hammer
Nahuwezi gusa hii na ma-neighbour walihama
So usione vile muziki jo inaanguka
Mabinti wafiti jo vile wanajirusha
Sababu sista m-small ame-graduate leo campo!
Nilikuwa najua haka katoi siku moja atafika hapo
Brother amedungwa promotion jamu ya vungu
Eh? promotion jamo ya vungu?
Brother amedungwa promotion moja ya nguvu
Round ile uli-apply kitambo naskia imejipa
Hiyo ndai mpya ulikuwa ukitaka umeangukia
Barabara imeongezwa lane nne una-switch switch tu ma-gear
Najua wengi wenu mshachoka na maneno ya siasa
Hawa majama huwanga wanatuzungusha ni ka tunacheza salsa
Haina mambos siku yao jo itafika
Lakini in the meantime celebrate kabisa
Kuwa Mwafrika
Kuwa Mwafrika
Ka una ganji kadhaa na umeng'ara balaa
Una machupa kadhaa na madada kadhaa
Umetoka kwa bank gari full kwa tank
Wee ni mgenge jamaa umepata wife na jamaa
KCSE watu wangu najua mmepita
Playstation 3 umei-earn bila shida
Na usiwe na wasiwasi ata ka exam umedunda jamaa
Huwezi jua labda wee ndio the future Obama
Kuna harusi noma leo nimealikwa baadaye
Mtu wangu Abbass anaoa why lie
Morale boy wetu huyo ametu-set-ia pace
Lakini mi bado nipo nipo just in case
Ulikuwa una-wonder
Vuka Bongo uksuliza mtu wangu wa nguvu tu Mwana
Lakini reception mambo mbaya
Venye hizi drinks zina-come hawa jamaa wana ubaya
Hapana tuna-make sure si ndio wa mwisho kutoka
Unakuwa amani ka chuma imepigwa solder
Hii ni verse ya ma-bachelor wote wale wametuacha
Sijui tunawa-celebrate vile watoto kibao tunawapata
Ka una ganji kadhaa na umeng'ara balaa
Una machupa kadhaa na madada kadhaa
Umetoka kwa bank gari full kwa tank
Wee ni mgenge jamaa umepata wife na jamaa

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists