Kishore Kumar Hits

Nonini Mgenge2Ru - Mtoto Mzuri - Remix lyrics

Artist: Nonini Mgenge2Ru

album: Mwisho Ya Mawazo


Uuuuu Huh Nonini uh Bobby Mapesa eehh mtoto mzuri remix Mambo Sawa tukaruka shower
1 (Nonini)
Ushaona mtoto amesimama ka Range four point sita
Aitwa lima ama anita
Mrefu kidogo ameniacha ka kitu ka three metres
Nimpande ka maji kwa tap ikitoka kwa mita
Mdogo mdogo anaeza nikatikia
Nikiwa nyuma yake unaeza dhani mi ni mkia
Hii drink yangu amenifanya nikajimwagia
Na anacheka nikimwambia nataka kumtiaaaaaaaah
Akaipita base kila mtu amwita auntie
Tabia tabia zake waeza dhani ye ni mlami
Ngozi yake laini na ni rangi ya lame
Macho ukimcheki na-wish ningekua ndani
Ndani ya jeans yake
Nipate size yake
Anipeleke kwake
Aishi kwa mamake
Kila Monday nimuamshe ngware tusilale
Mateeee aaaaaah
Mtoto mzuri kwangu asiwe ma...
Hataki nimpeleke ka...
Haoni... tukimaliza... twaruka...
Mtoto mzuri kwangu asiwe ma...
Hataki nimpeleke ka...
Haoni... tukimaliza... twaruka...
2 (Bobby Mapesa)
Shida yenu madame wataka tuwe same
Mkilemewa na shame wataka kutu-blame
Hii ni kama game hatuwezi kuwa same
Sitakutaja name unanipenda juu ya fame
Kama wewe ni wa kusalimiana na watu kwa barabara wee ni wa swara
Kama wewe ni wa kuchekesha makonkodi usilipe kodi wee ni kugwara
Hapana itisha mimi thao ya saloon
Shika mbao nyoa kichwa saf ka baloon
Za lunch za noon, see you soon
Usiwe kula kula kama baboon
Siwezi do kama hujaiva, na pia
Siwezi do kama sijaiva
Kwanza make list ya watu washaku-feast
Nasikia ushachafua mpaka kwetu east kwa ma-beast
Mtoto mzuri kwangu asiwe ma...
Hataki nimpeleke ka...
Haoni... tukimaliza... twaruka...
Mtoto mzuri kwangu asiwe ma...
Hataki nimpeleke ka...
Haoni... tukimaliza... twaruka...
Manze naeza like mtoto anapenda ma-rap sana
Hata kama anapenda ma-blues pia ni sawa
M-flexible kila kiungo by nature
Na amejibeba, vimeja
Na usiwe wa kifalafala
Kukaa tu ndee kimalamala
Zako ni ku-flash na kungoja hala
Kwa ma-boys wa ki-white collar
Jua kusaka dollar
Na usiniulize Nonini huwaga na gari gani
Gari gani? Gari gani?...
Kwenda panda matatu usiniitishe fare tafadhali
Usijam nikikam home
Nikinukia madame after ku-perform
Mtoto mzuri anavaa ka Oriego Manduli
Tabia nzuri, nywele nzuri
Mtoto mzuri kwangu asiwe ma...
Hataki nimpeleke ka...
Haoni... tukimaliza... twaruka...
Mtoto mzuri kwangu asiwe ma...
Hataki nimpeleke ka...
Haoni... tukimaliza... twaruka...

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists