Yesu ni wimbo wangu Furaha ya moyo wangu Yesu ni wimbo wangu Furaha ya moyo wangu Yesu Yesu rafiki yangu Mungu wangu We ndio mpenzi wangu sitakuacha Niende wapi nimekuchagua wewe Nifuate nani kwako kunautulivu Yesu ni wimbo wangu Furaha ya moyo wangu Yesu Yesu ni wimbo wangu Furaha ya moyo wangu Yesu Niende wapi nimekuchagua wewe Nifuate nani kwako kunautulivu Tangu nilipokupokea wewe Yesu Moyo wangu ukajaa na furaha Roho yangu ikajaa tumaini Tegemeo langu ni Yesu Msaada wangu wa karibu ni wewe Yesu ni wimbo wangu Furaha ya moyo wangu Yesu Yesu ni wimbo wangu Furaha ya moyo wangu Yesu Niende wapi nimekuchagua wewe Nifuate nani kwako kunautulivu Yesu ni wangu wa siku zote Yeye anajua maisha yangu Hata usiku hata mchana Yesu ni wangu wa siku zote Hata ningekua na mchumba Hata ningekua na mume wangu Hangenipenda kama na Yesu Yesu ni wangu wa siku zote Hata ningekua na babangu Hata ningekua na mama yangu Hangenipenda kama na Yesu Yesu ni wangu wa siku zote