Hale hale hale hale hale hale Haleluhyia Hale hale hale hale hale hale Haleluhyia Bwana wetu kimbilio langu we Bwana Yesu jemedari wangu mimi Yeye ndiye mwanzo tena mwisho Yeye ndiye alpha na omega Oooh Tumpambe bwana wetu Kwa ibada za sifa Tumpambe bwana wetu Kwa miendo na vitendo Tumpambe bwana wetu Kwa ibada za sifa Tumpambe bwana wetu Kwa miendo na vitendo Vile Ulianza, lazima utamaliza. Si wenye dhambi, pia ukasifisha, Njia pia ulisema utatengeza Nimuogope nani kama si wewe baba. Ooh Tumpambe bwana wetu Kwa ibada za sifa Tumpambe bwana wetu Kwa miendo na vitendo Tumpambe bwana wetu Kwa ibada za sifa Tumpambe bwana wetu Kwa miendo na vitendo Hapo awali ningejua, ni we unaokoa. Sio matendo na tabia, neema ya okoa. Sio kwa uzuri imani ya okoa. Inchi yetu baba okoa Okoa okoa Baba okoa Komboa komboa Baba komboa Fungua fungua Baba fungua fungua Inua inua Baba inua Naiunua mikono Baba inua I surrender to youu Ooh Tumpambe bwana wetu Kwa ibada za sifa Tumpambe bwana wetu Kwa miendo na vitendo Tumpambe bwana wetu Kwa ibada za sifa Tumpambe bwana wetu Kwa miendo na vitendo Oooh Tumpambe bwana wetu Kwa ibada za sifa Tumpambe bwana wetu Kwa miendo na vitendo Tumpambe bwana wetu Kwa ibada za sifa Tumpambe bwana wetu Kwa miendo na vitendo Hale hale hale hale hale hale Haleluhyia Hale hale hale hale hale hale Haleluhyia