Sol Generation Merry Christmas to the nation Oh, Lord Tulianza mwaka tukiwa wengi, wengine hawakumaliza Tukapanga nayo mipango mingi, lakini chache zikatimizwa Sasa sherehe kwa church, wengine kwa bar Count your blessings vile inafaa Ya Mola ni mengi, shetani hawezi pangua Salama kwako mama, Nairobi kuko sawa Nilipatana na vijana, tukaimba Extravaganza Crystal akajulikana, asante Maulana Aki ningeweza mama, nifungue macho nikuone Nikiwa mbali (Mbali mama) Umoja natamani (Natamani) Sijui nitafanyeje, Christmas nile na wewe Ukiwa mbali (Mbali mama) Umoja natamani (Natamani) Sijui nitafanyeje, nivuke mwaka na wewe Siku hizi kuwa na shelerehe bila wewe Mpenzi harakisha usichelewe Nilizaliwa Disemba kama wewe Njoo njoo unibembeleze Moyoni ni mengi ninatarajia Dada I'd give it all, mbinguni na dunia Ili niwe na wewe muda unawadia Njoo nile rhumba na wewe Timing, imeharibiwa na kazi Na sijui nitafanyaje, nichome moja na wewe Niko grinding, na nimekushikia zawadi Yaani Sijui nitafikaje, ningependa nikupe mwenyewe Nikiwa mbali (Mbali mama) Umoja natamani (Natamani) Sijui nitafanyeje, Christmas nile na wewe Ukiwa mbali (Mbali mama) Umoja natamani (Natamani) Sijui nitafanyeje, nivuke mwaka na wewe Oh-oh-oh Anywhere you are is home Naomba Christmass nile na wewe Ooooh Anywhere you are is home Naomba Christmass nile na wewe Nikiwa mbali (Mbali mama) Umoja natamani (Natamani) Sijui nitafanyeje, Christmas nile na wewe (Oh, no, no, no) Ukiwa mbali (Na ukiwa mbali) Umoja natamani (Natamani) Sijui nitafanyeje, nivuke mwaka na wewe (Mwaka na wewe) (Umoja natamani) Nivuke mwaka na wewe