Tunashuka aaah uinuliwe eeh Tunashukaaa uinuliwe Tunashuka aah uinuliwe eeh Tunashukaaa uinuliwe Wewe Ni Muumbaji sisi Ni viumbe Wewe Ni mwenye nguvu sisi Ni wabovu Hatuna cha kuonyesha tu kazi ya mikono yako Hatuna cha kujivunia tu watu mbele zako (Kwa hiyo) Twangojea (Baba twangojea) uonekane (pekee yako uonekane) Twangojea (Yesu twangojea) uonekane (Hatuna cha kuonyesha)twangojea (Yote tunayo tumepata kwako) uonekane (Yote tuliyo Ni kazi yako) twangojeaaa (Baba twangojea) uonekane Baba akauliza nimtume nani Malaika wakanyamaza Wanakaa hawakufaa Yesu ukasimama unitume Mimi Baaabaa Niwaokoe, pekee yako wastahili (Mwanakondoo wa Mungu) Mwanakondoo wa Mungu (Wewe wastahili) Wastahili. (Mwanakondoo wa Mungu) Mwanakondoo wa Mungu (Wewe wastahili) Wastahili (Umekamata hicho kitabu) Mwanakondoo wa Mungu (Ukakipasua ukanifungua) Wastahili (Ukaniokoa nikawa huru) Mwanakondoo wa Mungu (Mwanakondoo wa Mungu) Wastahili (Hukumu yako juu yako)wastahili (Dhambi zangu juu yako)wastahili (Magonjwa yangu ndani yako)wastahili (Pale msalabani) wastahili (Wastahili)Wastahili (kwa hiyo)wastahili Bwana wastahili wastahili Yesu wastahili wastahili Kupewa sifa wowowo wastahili Kuheshimiwa wastahili Kupewa sifa wastahili Shukrani Ni zako Bwana wastahili Utukufu Ni wako Mungu wastahili Mamlaka Ni yako Yesu wastahili Bwana wastahili wastahili Kuheshimiwa wastahili Kupewa sifa wastahili Kuabudiwa wastahili Kusifiwa wastahili Wewe furaha yangu wastahili Wewe uwezo wangu wastahili Wewe amani yangu wastahili Wewe Baraka zangu wastahili Yesu wastahili Unastahili Bwana wa maisha yangu Unastahili Yesu wangu Pokea sifa za midomo yangu Pokea maabudu ya maisha yangu Kwani sina Mwingine Bwana mwingine kama wewe Uliyenichukua na udhaifu wangu Ukanifanya kuwa MTU mpya Ukanipatia usamani wa kuwa mwana wako Mungu Niko hapa chini ya jua Lakini natembea na Mungu mzima ndani mwangu Unakuwa huko juu mbinguni lakini Mimi Ninakaa kwenye kiti cha enzi pamoja na wewe Kwani ulimwambia Baba ninahitaji wawe umoja Jinsi Mimi na wewe tulivyo umoja Yesu ndani mwangu ninakuwa samani ya ajabu Unastahili Yesu wangu Unastahili Bwana wa majeshi