Kishore Kumar Hits

Juliani - Biceps lyrics

Artist: Juliani

album: Mtaa Mentality


Pia mi hu-cry kwa crisis
Pia mi najua mwanaume sio biceps
Pia mi hu-cry kwa crisis
Pia mi najua mwanaume sio biceps
Pia mi hu-cry kwa crisis
Pia mi najua urembo sio cutex
Pia mi hu-cry kwa crisis
Pia mi najua urembo sio cutex
Ma-thug wanateremka ka longi yangu niki-sag
Futi sita chini shags
Jail ime-fail jaribu hugs
Waonekani mtaani ka santa claus kinyozi
Machozi ya kitungu
Roho ya robocop
Sarah alikuwa anataka mtoto na ako menopause
Ma-boy wanatafuta love kwa soap
Washe wana-define love no soap... opera
Haisaidii ka Micheal Jordan kununua kichana
Eeh bana enda Koinange Street
Cheki length ya skirt ya washe
Hio ndio inaitwa ministry
Mimi G
Na-reason hivi
Pia mi hu-cry kwa crisis
Pia mi najua mwanaume sio biceps
Pia mi hu-cry kwa crisis
Pia mi najua mwanaume sio biceps
Pia mi hu-cry kwa crisis
Pia mi najua urembo sio cutex
Pia mi hu-cry kwa crisis
Pia mi najua urembo sio cutex
Ma-zero zikiwa kwa paper ya exam
Una-jam
Lakini the more zikiwa kwa cheque book
Unajisifu
Venye unajua si hivyo huwa
Kuvaa white haimaanishi angel
Pengine ni ku klux klan
Ku clash clad
Ni ka Mkristo anaenda club anaenda pub
Si nywele yao ni wig
Si shida ya macho ni weed
Wana njaa usidanganywe na toothpick
Ndio una twenty six inch rims
Lakini ka wengine utaingia six feet deep
Wanabeba mandovu kwa wallet
Lakini hawana nguvu ya kutoa msumari imewafunikia kwa casket
Wanabeba mandovu kwa wallet
Pia mi hu-cry kwa crisis
Pia mi najua mwanaume sio biceps
Pia mi hu-cry kwa crisis
Pia mi najua mwanaume sio biceps
Pia mi hu-cry kwa crisis
Pia mi najua urembo sio cutex
Pia mi hu-cry kwa crisis
Pia mi najua urembo sio cutex
Wazembe waezi chana nywele wakaita dredi
Waliishiwa na unga wakaitwa uji
Kukua busy si bidii
Sote wezi ni venye tujapatikana P3
I wonder tulikopesha ni grim reaper
Inatu-cost life yetu
Dough haiezi lipa
Siku-choose kuingia hii dunia
Pia sijui lini nitatoka hii dunia
Basi mimi nitajivunia
Mbona mapenzi kabla pete inapuliza tumbo
Kama ni hatia tungefura mgongo
Si mbaya msichana na kijana ku-keep in touch
Lakini pete ndio inakupa ruhusa ya ku-keep na ku-touch
Pia mi hu-cry kwa crisis
Pia mi najua mwanaume sio biceps
Pia mi hu-cry kwa crisis
Pia mi najua mwanaume sio biceps
Pia mi hu-cry kwa crisis
Pia mi najua urembo sio cutex
Pia mi hu-cry kwa crisis
Pia mi najua urembo sio cutex

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists