Wewe ni dume suruali Kaa mbali nami mbali nami Kama dume suruali Kaa mbali nami uendani nami Falsafaaaa Who dat who dat hii ni salamu Na ufahamu kama unauza mapenzi si kwa binamu Huna haja ya kusubiri hii ni hukumu Hakuna kitu utapata utangoja kama Askari wa zamu Dume suruali dume kaptura Shauri zako ilimradi sipati hasara Usione utani mimi siongei hata kwa ishara Utaniambia nini mpaka unigeuze fala Kwanza naskia hongo zinaleta mkosi Senti tano yangu hugusi hata ukiongea kidosi Yabaki mapenzi tusileteani ujambazi Hata upige sarakasi utachonga viazi (Bahiri kama nini) Ndo mnavyosema na Ukiniomba kesho hunisikii tena Kwani unauza nini dada hunitakii mema Wewe ni dume suruali Kaa mbali nami mbali nami aah Kama dume suruali Kaa mbali nami uendani nami I want that Gucci, find it Spend all on a girl like me My name is Vee Money money Spend all on a girl like me Nionge nanunua nini kwanini yani Kuna kipi nisichokijua ina TV ndani Usiulize ntakupa nini dada Piga moyo konde Viuno vingi kama mwari wa kimakonde Usipende ela kama mfuko Au fanya unavyofanya upate zako Vishawishi vingi binti sema na moyo wako Na ujifunze pesa zinauza utu wako Tajiri mtata kama Sallah Zipo ila sitoi Sio Bahiri mimi balaa Unapenda ela zangu nami nazipenda pia Kila mtu abaki na zake Bye babe tutaongea (Mwanaume wa hivyo wa nini sasa?) Ndo mnavyosema Na ukiniomba kesho hunisikii tena Kwani unauza nini dada hunitakii mema Wewe ni dume suruali Kaa mbali nami mbali nami aaah Kama dume suruali Kaa mbali nami uendani nami I want that Gucci find if Spend all on a girl like me Money is Vee Money money Spend all on a girl like me Aje aje mi mtoto flani ghari Yeaah nionge gari My sweet sweet babe Wanna see you today unipeleke Paris Aje aje njoo nikupetipeti Yeaaah Siyo kwa enzi ya magufuli Zari lilikuwa long Siku hizi hakuna la mentali Nikikuonga na ukaniacha ntakujia usingizini Naepusha shari Matatizo yote ya nini? Hakuna kipya chini ya jua Hata nsiyoyafanya nshayasikia Ningekuwa muongaji Ningeshafulia wangu Mademu wangu wa zamani Wote wangekuwa maadui zangu (Mwanaume hovyo wewe) Ndo mnavyosema Na ukiniomba kesho hunisikii tena Kwani unauza nini dada hunitakii mema (Baki na hamu zako) Wewe ni dume suruali Kaa mbali nami mbali nami aaah Kama dume suruali Kaa mbali nami uendani nami I want that Gucci find it Spend all on a girl like me Money is Vee Money money Spend all on a girl like me Baba bure huyu Hata Panton linastaafu Unamwambia nani sasa Unamwambia nani sasa