Kishore Kumar Hits

MwanaFA - Godfather lyrics

Artist: MwanaFA

album: Godfather


Mungu baba uliye juu mbinguni
Ni wewe pekee yako unayeishi
Vyote vijazavyo dunia ni mali yako
Unastahili heshima na utukufu
Wewe ndiye uliye juu ya ulimwengu
Juu ya dunia yote vyote vyakuabudu
Niwewe uamrisha mchana na usiku
Nyota na mwezi vyote vyakutangaza

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists