Kishore Kumar Hits

MwanaFA - Unanijua Unanisikia lyrics

Artist: MwanaFA

album: Unanijua Unanisikia


Toka Bmix
Kwenye track hii ya Hami-B
Bmix
Yeah
Ukiwa fukara kamwe huwezi kuwa kiburi
Maskini jeuri ni msemo tu
Usiuweke kwenye akili
Mwanaume kuwa tajiri ni kama demu kuwa mzuri
Demu wako akiwa kwenye kioo we piga simu utafute deal
Hela hazilali so ukilala wewe tu
Na zina kasi ya kutengenezwa hazikungoji uamke mkuu
Me na make money mchana na make money usiku
Iwe kwa tai au kwa jeans me naingiza mkwanja tu
Naingiza mkwanja na jua na naingiza totoro
Mwenzangu sio unazbagua me sina nazo mgogoro
Begi mgongoni na ramani kama mzungu
Kabla hujafika ulipo nshafaham my next move
Pesa ni rock me ni roho
Wana wa long time ago
Uwezi kutuachanisha
Waliodei wote wanafall
Mikuki imepotea farasi wanarudi wenyewe...
Wale waliopanda wakati wa kwenda wanaomba wafufuliwe
Usinipigie makofi utachoka mikono itauma cause utamiss nyingine
Unanijua unaniskia
Usinipigie makofi utachoka mikono itauma cause utamiss nyingine
Unanijua unaniskia
Punch line zinafuatana
Unanijua unaniskia
Punch line zinaongozana
Unanjiua unaniskia
Punch line zimegandana
Unanijua unaniskia
So usinipigie makofi utachoka mikono itauma
Inakera kujua majibu na watu hawayulizi kutu
We unajua sie hatujui ila kaa navyo vyote kutu
Maisha kama ubao ila ayaandikwi kwa chalk
Siwezi kukupa vyote ujue na kwangu zimebaki
Mimi ile mitego ya mission na mission kabla ya kudanja
Ya kwanza kuwa na mkwanja na ya pili kuwa na mkwanja
Namweka mungu kwanza dunia inashindwa nivunja
Nusu haramu nusu halali
Upande shehe na upande ninja
Kila bosi na bosi wake
Kama mnyonge na mnyonge wake
Mola alikupa punje na punje akawapa wengine
Hakutaka unyanyaswe wala
Unyanyase watu wake.
Alichokupa me hakunipani vyetu tutumie wote
Ukipata nusu ina maana umekosa nusu
Na tuseme anayo Mpoki au Masanja we hayakuhusu
Ni siku ya kwanza ya maisha yangu yaliyobaki
Hivi navyotaka iende
Huu wimbo ni man respect
Usinipigie makofi utachoka mikono itauma cause utamiss nyingine
Unanijua unaniskia
Usinipigie makofi utachoka mikono itauma cause utamiss nyingine
Unanijua unaniskia
Punch line zinafuatana
Unanijua unaniskia
Punch line zinaongozana
Unanjiua unaniskia
Punch line zimegandana
Unanijua unaniskia
So usinipigie makofi utachoka mikono itauma
Unanijua unaniskia
Unanijua unaniskia
Sina mjadala na ujinga sina nafasi ya kuuweka
Umri unasonga sina muda
Mvi znasogea zitafika
Sipunguziki mimi kama bei za supermarket
Tuna uzito tofauti kama wa shuka na blanketi
Naisafisha sabuni ndo inisafishe maungoni
So usininyooshee kidole
We ni mchafu zaidi ya mimi
Wenzako hawaombi wanashukuru
Wanapenda walichopata
Omba samaki upewe nyoka
Omba upewe usichotaka
Usinipigie makofi utachoka mikono itauma cause utamiss nyingine
Unanijua unaniskia
Usinipigie makofi utachoka mikono itauma cause utamiss nyingine
Unanijua unaniskia
Punch line zinafuatana
Unanijua unaniskia
Punch line zinaongozana
Unanjiua unaniskia
Punch line zimegandana
Unanijua unaniskia
So usinipigie makofi utachoka mikono itauma
Yeah tumekubaliana inaisha hivi hivi
Haina huku haina nini
It's you boy double 07 James Bond
Na Hami-B
Ofcouse that boy Mwana FA
(Mastermid himself)

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists