Paul Maker Let's get 'em (Oh my) Me I just wanna 'em pay boy Hanging with 'em bitches like a motherfuckin' play boy Ukitaka pesa yangu ain't nothing can't say boy Taji la wanangu mapanga TMK boy Fuck outta my way boy, Vomos Sasa hivi sina stori na watoto Mashavu ya international nayavuta kuja local Ndo maana nkaacha kuhang na wana goroko Nakuwaga low-key ila sasa my niggas (Go loco) Dick suckers wanatujua (yeah) We taking over street ruckus na flow mature (Boo) Sa nakujuza mi ni mbaya, na najua wajua Tryna put a trigger on my chest nkawaachia kifua (Shoot) Go tell your hoes, I'm back This my designers, you niggas are copying swaggs J's on my feet, my niggas haoni tag Nawakilisha Bongo kitu sote beba flag Kutwa dawa yangu pini Unanifananishaje mimi na watoto wa mjini Wakijipanga tunawapangua tu kwani nini Tunawakata wanaojiita pini la chini kwa chini, utajua lini Busy tunacount papers Black store ila najichoma kwenye white paper Tukikutanaga ana kwa ana, unanikwepa Hata hivyo haunishtui hata kidogo, so hunifai sepa (Gooo) Bahati mnazo ila mmezikalia Mi ndo kiwanda, ukinidiss umeharibu career Baadaye tukiwa juu ya Jeep tunawachungulia Hatutakuwa na neno kubwa zaidi ya tuliwaambiaaa (Weee) Sikilizia vocal Sikilizia mziki wa Dick Sound kwenye mkoko Sikilizia mziki wangu unavyopendwa na watota Alafu sikilizia nvyowapelekea moto, na mkong'oto Pesa zinatufata Pisi zinatutaka Chuki zina mipaka Milango ishafunguka, noti tunazipata Kupata sharubu eti ifanye tukuite mkaka (Nigga what?) Nawakilisha Dar toka enzi za Saigo oi oi eeh bhana Dah Nikitema sumu wewe unatema mate Hata kama una mimba, mimi sio baba wa mtoto utakayemzaa (Kwendaaa) Mimi ndio nembo ya mtaa (you know I get it) Marapper wako wakiniona, wanabanwa na ngiri Na kuchana nachana, hata ukiniamsha Alfajiri Nawarudisha enzi za Lil Wayne (A Millie A Millie) Speaking of this harsh (harsh) Since mimi ni Mbuzi, mda wote nakula nyasi Tabia pia za Mbuzi, muda wote nakula bati Sio kwamba nakuchukia, ni vile nakuona trash yaani takataka We outta here Couple Tojo Sheshe Peti Money Rasta Paul Maker Big Tajiri Abasi