Hawamaanishi wanachosema ila huongea ya maana Maandishi nayo yatema yakipotea ujue una laana Wana drama ukikwama lawama za bwana akikukana ni uhasama unanichanganya kutamaniana ujana una maana kupendana Mapenzi sio mashindano ya flani na flani wako wanaishi Ni makubalianao ndani ya kimoyo honey umridhishe Kuyaanza ni vigumu kutengana ni rahisi Kuyafanza vidume wakaanga sumu wote uwa tight Unamuita Queen na una passion ya kumuona Simu yake ina pin na mapassword kila kona Na majina kama Cadabra kumbe ni ibra yaani Roma Na aliyem-save kama baba ndo yule hujiiba nae kinoma Ukienda kasi utaona love iko fasta kiasi kwamba your first lover hawez kuwa your last Unamuona mlupo kisa ulimgonga kwa mashiko anakuomba nadusko anaoga batonga anagonga vitu Unamuita darling my wife mamyto unapata habari za wanafki kuna warafi wanamla hadi jicho Unaemtaka haumpati utampata wapi Anaekutaka haumtaki haumpi nafasi Akikutega ukijiweka haukohoi utakesha tu unacheka ulishatekwa home boy Weka yeye atoe Asiya enzi na usimboe Wengi wanajua mapenzi lakini wachache wanaya-enjoy Ahhhh Kijana unanichanganya unanivuruga mimi everyday Aaah Najali wangu muda wananizuga kumbe hawakei ×2 Hawamaanishi wanachosema lakini huongea ya maana×2 Ulimi mbili ulimi mbili ulimi mbili×4 Mapenzi ya kweli ni kama jini Wachache ndo wameona muache anaokuona unanini Kusoma ujanja kama wanadada wa vyuoni kusoma mchana wanafanya uchangudoa jioni kisha wana-act kama virgin in the morning Ili picha uipate ficha flash wasiione Wengi hawa graduate na A wana graduate na Aids when graduate utawajuaje kwamba wanahitaji confess ilimladi wasexy na washikaji wasi wacheke waki-test blood wanawapa stresser uponyaji ni hadi aki-bless God Uliemchekesha unamliza na anajuta umemfirithi zaid ya gear reverse inavomaliza mafuta Wazamani siwezi mwacha na Mpya niliyempata yupo kwetu Mjanja hawezi ingia dukani kununua viatu akiwa peku Kila msichana anataka bwana mwenye demu Aah inaonekana wanasaka bwana mwenye game Mnachana mnachoma picha mna-change namba za phone Inakuumiza kichwa mapenzi yapo moyoni Muda unapita unamuenzi hadi ndotoni unagundua yule mshenzi hakupendi lakini hamkomi Akikutega ukijiweka haukohoi unakesha tu unacheka ulishatekwa homeboy weka yeye atoe asiya enzi na usimboe Wengi wanayajua mapenzi lakini wachache wanaya-enjoy Ahhhh Kijana unanichanganya unanivuruga mimi everyday Aaah Najali wangu muda wananizuga kumbe hawakei ×2 Hawamaanishi wanachosema lakini huongea ya maana×2 Ulimi mbili ulimi mbili ulimi mbili×4