Uuu ahhha baby... Malaika zangu za inuka kila anapo niguza Pumzi nazo mi zaniishia kila anapo nidadisia Vile ata nipenda Vile ata niroga Vile ata niliza ×2 Vile ata... Anapo nibusu uuu. Anapo nilaza chini iii... Na anapo nipapasa aaa... Ni dhahiri shahiri Nimepata Mfalme wa mapenzi Hamna mwingine akaribiaye mbinu Zake Nimempata Mfalme wa mapenzi Hamna mwingine ila ye. A Ni faye... ×2 Yu wafanya Kwa utaratibu Yoja wamaliza nguvu Sina budi ila kumruhusu Anipe sumu. Anapo nibusu uuu. Anapo nilaza chini iii... Na anapo nipapasa aaa... Ni dhahiri shahiri Nimepata Mfalme wa mapenzi Hamna mwingine akaribiaye mbinu Zake Nimempata Mfalme wa mapenzi Hamna mwingine ila ye A Ni faye.×2 Ni wie radhi Sio ati ni mara ya kwanza Kufanya mapenzi Lakini bila shaka Hamna mwingine kama yeye Nimepata Mfalme wa mapenzi Hamna mwingine akaribiaye mbinu Zake Nimempata Mfalme wa mapenzi Hamna mwingine ila ye A Ni faye.