Ohh uhhh Ona nana nana na nana Bilii Sanaa Alikua yuanipenda hapo zamani alipokua Hana Na kile tulichopata ingawa haba tulikigawanya Akapandishwa cheo maendeleo akaanza kunikaana Akapata ndongo ndongo na mimi akanipa kisogo Ikawa kwangu makelele kwake starehe Kwangu matusi kwake mazuri Nashaanga Leo yuaniomba msamaha Yuanimbembeleza yuanitendekeza yuaninyenyekea mimi Nami sitodhubutu kumruhusu anihusu tena Ankula huu Ankula huu Ankula huu Ankula huu Na hasara juu Uhhh uhhh Na hasara juu Uhhh uhhh Nilipoyangundua nikamuonya awachane nae Akaniona punguani akanivalia mi miwani Lakini mambo kaenda mrama bibi akaanza kutanga Leo yuashika tamaa huku yuaniandama Ikawa kwake makelele kwangu starehe Kwake matusi kwangu mazuri nashaanga Leo yuaomba msamaha Yuanimbembeleza Yuanitendekeza yuaninyenyekea mimi Nami sitodhubutu kumruhusu anihusu tena Ankula huu Ankula huu Ankula huu Ankula huu Na hasara juu Uhhh uhhh Na hasara juu Uhhh uhhh Wanawake wenzangu halo haloo Ehh Ukampikia ukamwandalia Ukamtumikia ukambwagia Eti leo ohh pole Sifanyi tena unisamee Turudiane tuanze tena Unkula huu ehh Na hasara juu Wanasema kosa ni la kwanza Mara ya pili ni kwa madharau Ikiwa ntakurudia bwana Nakusihi usinbwage bwaya bwaya Mwanaume ana adabu mwanaume ana haya Ataka kwenda akashike shike nje Kisha arudi kwapa hapa Ankula huu Ankula huu Ankula huu Ankula huu Na hasara juu Uhhh uhhh Na hasara juu Uhhh uhhh Ankula huu Ankula huu Ankula huu Ankula huu Na hasara juu Uhhh uhhh Na hasara juu Uhhh uhhh Na hasara