(Mwanadamu...) Mwanadamu ana harusi tatu za maisha (Mwanadamu...) Mwanadamu ana harusi tatu za maisha (Katika...) Katika hizo tatu ni moja tu afurahi (Katika...) Katika hizo tatu ni moja tu afurahi Shangilia... Heh! Heh! Heh! Heh! Heh! Heh! Heeeh! Heh! Heh! Heh! Heh! Nifuraha kubwa. Heh! Heh! Heh! Heh! Heh! Heh! Heeeh! Heh! Heh! Heh! Heh! Nifuraha kubwa. (Angalia...) Angalia eh ndugu usikose hii ya pili (Angalia...) Angalia eh ndugu usikose hii ya pili (Ni nzuri...) Ni nzuri kwa vile macho yako yajionea (Ni nzuri...) Ni nzuri kwa vile macho yako yajionea Shangilia... Heh! Heh! Heh! Heh! Heh! Heh! Heeeh! Heh! Heh! Heh! Heh! Nifuraha kubwa. Heh! Heh! Heh! Heh! Heh! Heh! Heeeh! Heh! Heh! Heh! Heh! Nifuraha kubwa. (Na vijana...) Vijana wengi wameshapoteza nuru hiyo (Na vijana...) Vijana wengi wameshapoteza nuru hiyo (Na watu...) Na watu wanasema majuto ni mjukuu (Na watu...) Na watu wanasema majuto ni mjukuu Shangilia... Heh! Heh! Heh! Heh! Heh! Heh! Heeeh! Heh! Heh! Heh! Heh! Nifuraha kubwa. INTERLUDE Heh! Heh! Heh! Heh! Heh! Heh! Heeeh! Heh! Heh! Heh! Heh! Nifuraha kubwa.