Ee Yerusalemu, Yerusalemu Uwauwae manabii Na kuwapiga na mawe Wale waliyotumwa kwako. Ni mara ngapi nimetaka kuwakusanya Pamoja watoto wako kama vile kuku Avikusanyavyo pamoja vifaranga vyake Chini ya mabawa yake. Lakini, hamkutaka. Nyumba yenu imekuwa ukiwa Na mimi ninawaambia Hamtaniona kamwe Hadi nitapokuja tena. Ni mara ngapi nimetaka kuwakusanya Pamoja watoto wako kama vile kuku Avikusanyavyo pamoja vifaranga vyake Chini ya mabawa yake. Lakini, hamkutaka. Wengi wao nyinyi nitawakoma Kama walivyofanya kale Tangu damu ya Habili Mpaka damu ya Zakaria Ni mara ngapi nimetaka kuwakusanya Pamoja watoto wako kama vile kuku Avikusanyavyo pamoja vifaranga vyake Chini ya mabawa yake. Lakini, hamkutaka. Na wengine nyinyi mkawapiga Katika sinagogi zenu Hata kuwasulubusha Na wengine kuwafukuza Ni mara ngapi nimetaka kuwakusanya Pamoja watoto wako kama vile kuku Avikusanyavyo pamoja vifaranga vyake Chini ya mabawa yake. Lakini, hamkutaka. Ni mara ngapi nimetaka kuwakusanya Pamoja watoto wako kama vile kuku Avikusanyavyo pamoja vifaranga vyake Chini ya mabawa yake. Lakini, hamkutaka.