Kishore Kumar Hits

Solomon Mkubwa - Matendo Ya Mungu lyrics

Artist: Solomon Mkubwa

album: Sijaona Rafiki Kama Yesu


Matendo ya Mungu
Yapita fahamu
Ni nani ayaona wazi
Lakini najua
Mapito ya Mungu
Kwa mimi yafaa halisi
Ooh lakini najua
Mapito ya Mungu
Kwangu mimi yafaa halisi
Njiani sijui mimi
Maana ya haya yote
Lakini nitayafahamu

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists