Kishore Kumar Hits

Viva La Musica - Safari lyrics

Artist: Viva La Musica

album: Dans l' (Nouvelle écriture)


Maji yangu ya meco imenitoka na uruma
Kwa kuona wato wawili wanakabulana
Muengine naenda au
Muengine nabaki ya uruma
Ju ya safari iiii
Safari oh safari
Umeumiza moyo
Wende eeee wendeee ndugu
Kisha masiku
Kwa nguvu ya mola
Tutaonana tenaaaa
Mimi leo naenda tumelakana naweee
Nikisha fika takutumia mkanda
Kwa kujulisha nimefika buzimaaaaa
Safarieee
Safari eh safari
Umeumiza moyo
Wendeeeee wendeee ndugu
Kisha masiku
Kwa nguvu ya mola
Tutaonana tenaaaa
Watu wengine wanasafiri kwa ndege
Watu wengine wanasafiri kwa mashua aaaa
Watu wengine wanasafiri kwa gari watu wengine wanasafiri kwa migu uuuu
Safariii safariiii safariiii safariii safariiii safariieeee

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists