Kishore Kumar Hits

Maroon Commandos - Uvivu Mbaya lyrics

Artist: Maroon Commandos

album: Golden Voice Of Habel Kifoto


(Uvivu ni adui mkubwa, wa ujenzi wa taifa
Kwani ndicho kiini hasa, kisababishacho njaa
Ewe ndugu yangu wee,
Amka kumekucha, kamata jembe na panga twende shamba
Ata wewe mwanangu, amka kumekucha, kwani hizi ndizo za kwenda shule
Hata wewe karani, amka kumekucha,
Kwani hizi ndizo saa za kwenda kazi)
*Bridge*
Uvivu, ndiyo adui ya ujenzi wa taifa.
Jiepushe, na uvivu tujenge taifa.
Ndugu yangu, kumekucha amka wende shamba.
Jiepushe, na uvivu tujenge taifa.
Mwanangu, kumekucha amka wende shule.
Elimu, ndiyo msingi wa maendeleo.
Karani, kumekucha amka wende kazi.
Jiepushe, na uvivu tujenge taifa.
Uvivu, ndiyo adui wa maendeleo.
Jiepushe, na uvivu tujenge taifa.

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists