Kishore Kumar Hits

Sabah Salum - Mambo Kuzidiana lyrics

Artist: Sabah Salum

album: Mambo Kuzidiana

Mkombozi records
Aaaah aaaaahh
Binadamu tulivyo lazima kuzidiana
Na hivyo ndivyo ilivyo makosa kuambianaa
Binaadamu tulivyo lazima kuzidiana
Na hivyo ndivyo ilivyo makosa kuambianaa
Wala isiwe chagizo tusije kununianaa
Tuyaheshimu mafunzo yale tuliyofunzanaa
Wala isiwe chagizo tusije kununianaa
Tuyaheshimu mafunzo yale tuliyofunzanaa
Kila jambo linamwanzo ndipo tunaa pofunzana
Tusijelee leta mzozooo mjuvisa na hakunaa
Kila jambo linamwanzo ndipo tunaa pofunzana
Tusijelee leta mzozooo mjuvisa na hakunaa
Kuelewashana mwanzo Vikao kukubaliana
Wanao fahamu mafunzo na beti wanapeanaaaa
Kuelewashana mwanzo Vikao kukubaliana
Wanao fahamu mafunzo na beti wanapeanaaaa
Ooohhh oooooh
Aaaaaah aaaaahh
Usijione mjuzi mjuzi kupita woote
Sifa hiyo ya mwenyezi ya watu usitafuteee
Usijione mjuzi mjuzi kupita woote
Sifa hiyo ya mwenyezi ya watu usitafuteee
Utakuwa mpuuzi tena hujui loloteee
Wapo wengi huwawezi tena kwa jambo loloteee
Utakuwa mpuuzi tena hujui loloteee
Wapo wengi huwawezi tena kwa jambo loloteee
Alo pewa humuwezi chukiiusi mfanyiee
Utakosa usingiizii uje uji dhuruu mwenyewee
Alo pewa humuwezi chukiiusi mfanyiee
Utakosa usingiizii uje uji dhuruu mwenyewee
Kanitunuku mwenyezi nani tena azuiee
Huwezi ilo huwezi wala usijisumbueee
Kanitunuku mwenyezi nani tena azuiee
Huwezi ilo huwezi wala usijisumbueee
Binadamu tulivyo sisi lazima (kuzidiaaana)
Ni nguvu zake wetu Molla karima (Maulaana)
Binadamu tulivyo sisi lazima (kuzidiaaana)
Ni nguvu zake wetu Molla karima (Maulaana)
Ilo ubishi halinaaa (Usijitie shughuli)
Hatuwezi kufanana (sirituni kila hali)
Ilo ubishi halinaaa (Usijitie shughuli)
Hatuwezi kufanana (sirituni kila hali)
Langu kubwa ewallah inshallah (alhamdulillah)
Langu kubwa ewallah inshallah
Ndio maana nafanikiwaa (alhamdulillah)
Langu kubwa ewallah inshallah
Ndio maana naendeleaaa (alhamdulillah)
Langu kubwa ewallah inshallah
Mambo yangu yanayeyaa (alhamdulillah)
Langu kubwa ewallah inshallah
Bure mlonichukia (alhamdulillah)
Langu kubwa ewallah inshallah
Ndio maana nafanikiwaa (alhamdulillah)
Langu kubwa ewallah inshallah
Ndio maana naendeleaaa

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists