Kishore Kumar Hits

Les Mangelepa - Sakina lyrics

Artist: Les Mangelepa

album: Golden Hits of Mangelepa


Uko uhuru wa kusema hutaki lakini si wa matusi dada aah2
Akupendaye amependezwa nawe simchukulie fala kamwe eh 2
Nimegundua siri moja maishani mwanadamu hupenda anayemdanganya eeeh2
Ukimweleza ukweli hamtaelewana kamwee eeehh.
Ninamlilia suzanna nafasi sina ya kumweleza hayaaaaa uh
Ninamlilia suzanna nafasi sina ya kumweleza hayaaa uhhh
Nifanye nini wewedada hata salamu zangu sitaki suza2

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists