... ... Kasoro si maumbilee Au rangi ya mwilinii Kasoro si maaumbilee Au rangi ya mwilinii Kasoro ni vituu viile Mnapojitia pangu kuyasema ya wenzanguu Kuwa hayajitimia Si vizuri kimwengu kwanza yatizame yako Uanze kukosoa2 Isiwe maneno chunguu Kutangaza ya wenzakoo Yako ukayafukia Kelele za nyingu nyingu Japo ngoma sio yako Kibwebwe kujifungia2 Siku moja tuu ya munguu Itatoka aibu yangu Uso utajinamia Endelea na majungu Na kuyastiri yako Aibu itakuumbua2 Kasoro yangu ni nini Ohh ninini?