Kishore Kumar Hits

Jahazi Modern Taarab - Nilijua Mtasema lyrics

Artist: Jahazi Modern Taarab

album: Wagombanao


Nilijua mtasema×2
Kama maneno yangelikuwa njaa yangelitesa tumbo langu
Kama yangelikuwa tindikali., yangebabua ngozi yangu
Na kama yangelikuwa sumu kali yangehutoa uhai wangu...
Lakini ahhh.hayana virusi hayana risasi hayanibabaishi...
Nilijuaaa mtasemaaa... semeni×2
Siwakatazi kusema, midomo kawapa mwenyezi., semeni yote mtosema hamnitii maradhi×2
Nimerudi kwa muadhama profesa wa mapenzi, kwenu nimekwisha hama mmeshindwa kunienzi×2
Huku ninalishwa nyama ya mishikaki ya mbuzi., mnachojua lawama si utendaji wa kazi.×2
Siyajali mnosema, ngao yangu ni mwenyezi×2
Binadamu amuwishikwamba nilijua mtasema...×2
Semeni...×2
Hamshushi hadhi yangu, simwachi mpenzi wangu...
Buheri nipo kwangu×2
Nilijua mtasema,, semeni...×2 sijali mavuvuzera mnayopuliza kwangu.
Sasa mambo welawela nakamua life yangu×2
Mkinisema kila maraa, mie ndo uzima wangu.
Bure zenu biashara za majungu dhidi yangu×2
Semeni sina hasara atanilipia mungu,, najua kina wakera kurudi kwa hani wangu×2
Sijazakawhalaa hailaaa., me napata kula yangu×2
Binadamu awaishikwamba nilijua mtasema×2... semeni×4
Hamshushi hadhi yangu...
Simwachi mpenzi wangu
Buheri nipo kwangu×4
Mdomo nyumba ya maneno...
Nilijua mtasemaaa...,×2
Longolongoo. za waswazi, hazinipi mtihani... hazininyimi usingizi wa kulala na mwandani×2
Nimerudu kwa mpenzi sasa maneno ya nini?
Mdomo nyumba ya maneno.
Nilijua mtasema...
Mzee yusuph's melody...

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists