Kishore Kumar Hits

Samba Mapangala & Orchestra Virunga - Marina lyrics

Artist: Samba Mapangala & Orchestra Virunga

album: Virunga Roots Volume 1


Nimetuma wakusalimie
Barua pia nimetuma usome
Nikiwa nikitembea mara kwa mara ukumbuka mapenzi yetu vipi marina
Mapenzi sio kitu kipya duniani kilianza na Adam na Hawa eeh
Nimetuma wakusalimie
Barua pia nimetuma usome
Nikiwa nikitembea mara kwa mara ukumbuka mapenzi yetu vipi marina
Mapenzi sio kitu kipya duniani kilianza na adamu na Hawa eehh
Kwa hila nimesafiri
Uko umebakia
Chunga mapenzi yetu
Kwa simu tutaongea aahh
Mapenzi ya simu sitaweza
Kama hunipendi uniambie
Mimi bado ni murembo sitangoja
Nikipenda naolewa ahh mie
Mapenzi haichaguwi kabila
Siku hizi muzungu muchaina uowana
Japanese mwafrika vilevile eeehhh
Mie marina aahh
Mapenzi ya simu sitaweza
Kama hunipendi uniambie
Mimi bado ni murembo sitangoja
Nikipenda naolewa ahh mie
Mapenzi haichaguwi kabila
Siku hizi muzungu muchaina uowana
Japanese mwafrika vilevile eeehhh
Mie marina aahh
Uzuri wa mwanamke sio urembo
Ni tabia aahh
Uzuri wa mwanamke sio urembo
Ni tabia aahhh
Uzuri wa mwanamke sio urembo
Ni tabia aahh
Uzuri wa mwanamke sio urembo
Ni tabia aahhh
Uzuri wa mwanamke sio urembo
Ni tabia aahh
Uzuri wa mwanamke sio urembo
Ni tabia aahhh
Uzuri wa mwanamke sio urembo
Ni tabia aahh
Uzuri wa mwanamke sio urembo
Ni tabia aahhh

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists