Kishore Kumar Hits

Samba Mapangala & Orchestra Virunga - Dunia Tuna Pita (We Are Merely Passing Through This World) lyrics

Artist: Samba Mapangala & Orchestra Virunga

album: Ujumbe


Kila kitu ufanyayo lazima yapitie kwa waganga aah
Badilisha hiyo tabia ehh
Kila kitu ufanyayo lazima yapitie kwa waganga aah
Badilisha hiyo tabia ehh
Pesa zako hupatia kina dada
Watafuta jina ama vipi
Pesa zako hupatia kina dada
Watafuta jina ama vipi
Wake za watu kutongoza imejulikana
Jihadhari utaishia shimo la tewa aah
Wake za watu kutongoza imejulikana
Jihadhari utaishia shimo la tewa ahh
Waongea kujenga ghorofa na huna kitu ehh
Acha kunong'ona maringo Kaka
(Iiidhan bluumba Africa kabisa)
Dunia tunapita eeh
Kila kitu kitabakia ahh
Binadamu Ni mchanga ahh
Kitabaki milele ni milima ahh
Dunia tunapita eeh
Kila kitu kitabakia ahh
Majivuno ni ya Nini
Kitabaki milele ni milima ahh
Warogaroga watu baba ah bure
Waumiza Waafrika wenzako kwa nini
Madaraka wapigania kampuni sio yako
Wala yake ni ya Mzungu Baba wake ehh
Haki zao wana matumizi pia
Dunia tunapita eeh
Kila kitu kitabakia ahh
Binadamu ni mchanga ahh
Kitabaki milele ni milima ahh
Dunia tunapita ehh
Kila kitu kitabakia ahh
Binadamu ni mchanga ahh
Kitabaki milele ni milima ahh
Dunia tunapita eeh
Kila kitu kitabakia ahh
Majivuno ni ya nini
Kitabaki milele ni milima ahh
Dunia tunapita ehh
Kila kitu kitabakia ahh
Binadamu ni mchanga ahh
Kitabaki milele ni milima

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists