Kishore Kumar Hits

Rose Muhando - Pumzika Mama lyrics

Artist: Rose Muhando

album: Pumzika Mama


Rest in peace mama
Rest in peace mama
Rest in peace mama
Ulikuwa na miyo kama Ayala kule porini
Ulikuwa jasiri kama Simba nikani
Ulikuwa na nguvu kama Simbajike awako mawindoni
Lelo ume tutoka mama pumzika kwa amani
Nenda mama, nenda ah pumzika kwa amani
Nenda Ruakatale mama ulale kwa amani
Mama, mama, mama, ma-a-a-a-a-a-a-a
Oh nenda mama nenda
Mama naenda mama (pumzika kwa amani kwa amani)
Nenda Ruakatale (oh mama) pumzika kwa amani
Nenda mama nenda pumzika kwa amani
Nenda Ruakatale pumzika kwa amani
Eti mama na liya yupo wapi mama?
Wa imbaji tuna liya tumpate wapi mama?
Kanisa wana liya tumpate wapi mama?
Pale tulipo toka uli tutiya nguvu
Tulipo liya sana ah uli tufardhi
Mama tulipo anguka ah wewe ulitu inua
Ah tulipo vudjua moyo ah mama ulitu faridhi
Tulipo kata tamaa ah uli tutiya moyo
Walipo kana awa tujuwi wewe uli tujua sana
Tulipo fukuzua na wengine oh uli tukambatiya
Nenda Ruakatalee tuta kutana mbinguni
Na sema nenda mama nenda pumzika kwa amani
Vita ume vipingana, wendo ume umaliza
Imani ume ilinda pumzika kwa amani
Mama mama mama
Mama mama mama
Ukimuona Elia mwambiye bado tuna pambana
Ukimuona Kulala mweleze bado tume simama
Ukimuona Yesu mwenye we
Mwamnbniye bado tuna mwamini
Mwendo tuna kaza sana, vita tuna piga sana
Wewe uli tufundisha, Yesu tusije mkana
Nenda mama nenda ah pimzika kwa amani
Nenda Ruakatale ah pimzika kwa amani
Mama mama mama ma-a-a-a-a
(Oh) nenda mama, nenda (mama nenda mama) pumzika kwa amani
Nenda Ruakatale (oh mama) pumzika kwa amani
(Tuta kukumpuka mama) nenda mama nenda, (nenda) pumzika kwa amani
Nenda Ruakatale (ume tutoka mama) pumzika kwa amani
Tuli kupenda mama, tuli kupenda mama
Tuta kumbuka mama
Rest in peace mama (nenda kwa amani)
Rest in peace mama (nenda kwa amani mama)
Rest in peace mama (lala kwa amani mama)
Rest in peace mama (tuta kukumbuka mama)
Rest in peace mama (nenda kwa amani mama)
Rest in peace mama (lala kwa amani mama)
Rest in peace mama (nenda kwa amani)
Rest in peace mama (lala kwa amani mama)
Rest in peace mama (nenda kwa amani mama)
Rest in peace mama (tuta kumbuka mama)
Rest in peace mama (mwendo ume umaliza mama)
Rest in peace mama (ume ushindi mama)
Rest in peace mama (rest in peace mama)
Rest in peace mama (rest in peace mama)
Rest in peace mama (rest in peace mama)
Rest in peace mama (rest in peace mama)

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists