Yo-yo-yo
Kitu kidogo tu, kitu kidogo tu, dhaifu
Kitu kidogo tu, kitu kidogo tu, dhaifu
Kwanza maumivu kivivu kikamilifu
Kwa Kung-Fu mchemfu umaarufu
Uteja haumnyimi mtu umakini
Ukweli wa jeshi kamili ajali kazini
Mizingu usinizingue utasababisha nikung'oe
Iriki nawe ujue, skonzi, mkonzi ni kwang'wari
Umeme unaotumia kibatari
Ni sawa na sasa ulevi wa msosi, ukataze mbegu za mapapai
Yabidi u-tight kamba uwanjani
Gemu la leo zito watu, mateja na maskani
Uwanja wenye vichuguu, ukifa sikukuu
Manyasini, mabatini wauza mitumba watashiriki
Mwamuzi kibaka anayechezesha kwa mashaka
Magutu, kupondwa pondwa na mawe ka'shazoea kama muhuti
Myamburutu, kurutu
Mahafla mafuriko yamemzunguka mwili mzima
Anangoma, anangoma wallah hatopona
Akiutizama moto dakika mbili unajizima
Mwanangu chunga, dah, jela, sela kaa mbali na ngome hatari
Kinachokufanya husikii ni TV na video cassettes za jirani yetu mtaani
Kisosara wamang'ana mura, wakutubura
Bhaba, mtu mbishi mi' nnabahati kama Barito, Ba-Zaire ya Congo
Maisha hard, tight, tunashindia kunywa gongo
Na hali haruhusu
Samahani mama ya leo kali weka nusu
Hili gemu (hili gemu), hili gemu (hili gemu)
Hili gemu, gemu, gemu, gemu tafu (tamu)
Hili gemu (hili gemu), hili gemu (hili gemu)
Hili gemu, gemu, lakubana mbavu
Hili gemu (hili gemu), hili gemu (hili gemu)
Hili gemu, gemu, gemu, gemu tafu (tamu)
Hili gemu (hili gemu), hili gemu (hili gemu)
Hili gemu, gemu, lakubana mbavu
Ni muhtasari wa habari
Shetani au mafuvu, mawe mfano wa tofari
Mtaalamu wa kukopa kulipa kazi
Kapewa redundancy, kafukuzwa kazi
Kashindwa kumudu nafsi yake peke yake na busara zake
Kutwa kuringa na kabana tena kwa sana
Kapigwa bao sa' ndio alie
Kasha-dared upumbavu, mwerevu ananguvu za makwavu ubavu
Ni mtu kavu
Si-si' na Faith tupo hoi bin taabani vichakani
Imedondoka iyo koni ntaipangusa kitu pwani
Kwani unadhani shahidi nani? Haiwezekani
Mchupi, mchupi unapwaya, malaya, malaya amekanyaga miwaya
Shauri maisha ya sasa yashakuwa mabaya
Zari bibo-zwada ambapo hali ikiwa shwari
Ba-ndugu ba-jamaa n'na ba-eleza kwa style
Mida halisi, ondoa maini na firigisi
Isimwige ngisi kipigwa madebe, kisha ayabebe
Maji kupwa, maji kujaa
Mbona unashangaa kutwa kuwazia njaa
Kitu kufaa pika na maghazabu, aibu babu
Gidaa, kita pata mazongwa epuka bajanga
Ukali wa Langa hauna hata panga
Nani anatubariki kwa dhiki?
Wote wanafiki wasaliti
Na-see, nna-look, nna-chek
Natambuka verse
Na mamtu za kaa, zinashutama, zinalalama
Mbona hasira zitatawala, zipate hasara
Wakati wa chai ya rangi mpaka lukwili si' hatujala
Hili gemu (hili gemu), hili gemu (hili gemu)
Hili gemu, gemu, gemu, gemu tafu (tamu)
Hili gemu (hili gemu), hili gemu (hili gemu)
Hili gemu, gemu, lakubana mbavu
Hili gemu (hili gemu), hili gemu (hili gemu)
Hili gemu, gemu, gemu, gemu tafu (tamu)
Hili gemu (hili gemu), hili gemu (hili gemu)
Hili gemu, gemu, lakubana mbavu
Поcмотреть все песни артиста