Kishore Kumar Hits

D Knob - Elimu Mitaani Com lyrics

Artist: D Knob

album: D Knob Singles


(Hu-ha) tunasonga kistimu na ndoto kede (ayi)
Elimu ni biashara tutasomaje (mwambie D) (hu-ha)
Mitaani na maskani ndio ngome zenyewe (ngoja kwanza)
Elimu mitaani dot com mnaionaje?
Eyo narudi nyumbani namkuta mama kibarazani (mhmm)
Huku niko bwax halafu na chupa ya krest mfukoni (hu-ha)
Sura amekunja eti sitaki skuli kwa sababu afande mkinzi ananiburuza kwenye madawati (hu-ha) (du!)
Namvaa mdingi kupiga mzinga anasema umesha anza acha mziki ufanye maisha (hu-ha)
Nanyonga viani kwenye wizla kisha najilipua nipate spidi ya kulalia (hu-ha)
Sauti ya demu wangu inaingia ile kimkwara inasema kesho nikimfata nisivae lilebuti lililochanika (hu-ha)
Anasema ananipenda kwa sababu ya miguno na sound zangu za mitaa (hu-ha) (za mitaa)
Tatizo lake ni mama huruma anamaidi kujivinjari na bling vi-superstar (bling)
Sasaivi adabu anayo tangu anikute na mdogo wake wa mwisho
Ninamrukia juu ya kitanda cha mama yao wa kwambo (hu-ha)
Kichwa kinaniuma kuandika komesho style
Mwika Mwamba anasema kwa wapumbavu haikuwa na dili (hu-ha) (haina dili)
Demo niliompa haisikilizi na kila nikimfata ananirusha miezi miwili
Miezi miwili nikijumlisha na maisha yakuungaunga (duh) ni kama reli tangu enzi za kufree style (hu-ha)
Enzi za kutaka chansi huku DJ akinizimia mic
Enzi za kubeba begi mgongoni na slang za kinyamwezi (hu-ha) (kimamtoni)
Mfereji wa mitaani, elimu na utamaduni ni za thamani kushinda almasi (hu-ha) (remember that)
Freestyle zangu za maskani ni heshima kwa washikaji sometimes ni misosi yangu mezani (respect dat)
Lengo langu ni kupata rihusa at least p' ziburudishe ndani ya jela (hu-ha)
Kwani nimechoka kuwarusha wewe na wa-urio wako mnapominyana kwenye kona (hu-ha) (yeah)
Ndani ya studio mika anachonga eti kwa nini songi langi lina verse moja
Namjibu verse mbili au tatu zinaniyeyusha wakati raia hawataki tape kununua (hu-ha)
Anasema track ina marelia na hii ni kete ya mwisho ikija buma label ananitosa (anakutosa)
Nakuna kichwa nafikiria najua nikirudi uswazi kama kawaida masela watasema (watasema)
Nikitoa kali wanasema ila wakitoa wao ni kali mi huwa na sema tu (sema tu)
Hata mtaani tulipozaliwa tukiwa tunawakilisha mistari wao walisema
Ndio maana nawaaribu madada zao na kisha nnatega
Ndani ya Kokwa Records zinapayuka bongo fleva (hu-ha)
Hakuna elimu duniani kubwa kuliko ya mitaani na ya thamani kuliko ya mitaani huha (warrap)
(Hu-ha) tunasonga kistimu na ndoto kede (ayi)
Elimu ni biashara tutasomaje (mwambie D) (hu-ha)
Mitaani na maskani ndio ngome zenyewe (ngoja kwanza)
Elimu mitaani dot com mnaionaje
(Hu-ha) tunasonga kistimu na ndoto kede (ayi)
Elimu ni biashara tutasomaje (mwambie D) (hu-ha)
Mitaani na maskani ndio ngome zenyewe (ngoja kwanza)
Elimu mitaani dot com mnaionaje
(Hu-ha) tunasonga kistimu na ndoto kede (ayi)
Elimu ni biashara tutasomaje (mwambie D) (hu-ha)
Mitaani na maskani ndio ngome zenyewe (ngoja kwanza)
Elimu mitaani dot com mnaionaje
(Hu-ha)
(Hu-ha)
(Hu-ha)
(Hu-ha)
(Hu-ha)

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists